App developers Njooni mfanye kazi na mimi

App developers Njooni mfanye kazi na mimi

blogspot

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,269
Reaction score
1,147
Habari wakuu poleni na majukumu ya kila leo.

App developers mimi sijui coding ila sio kwamba ni mweupe kabisa😃. No kidogo some basics zipo.

Nipo hapa kutafuta developer tutakayeweza kupiga nae kazi pamoja.

Kivipi?
Developer utatengeneza App kwa niche ambayo nitakuwa nayo.
Then:
-Contents nitatengeneza
-Nita publish app kwenye console acc yangu.
-Promotion nitafanya(Makubaliano)
--Advertisements compaign kwenye platform tofautitofauti nitaendesha.


Note: Ads units Tutashare na hapa kila mtu atakua na zake kuepuka usumbufu.

Nawakaribisha wataalamu.
 
Back
Top Bottom