App bora za Kiswahili

App bora za Kiswahili

Hakuna kitu sipendi kama hilo neno "app" ni ushamba unafanywa na wabongo tu.
PamojaApp, PoaApp, HadithiApp, tunajua tayari kua ni application, kwa nini wasiite Pamoja, Poa inatosha kabisa. Ushamba huu mzigo
Whats-App
Huo pia ni ushamba?
Achaga hizo kelele mkuu
 
Wadau nimekua nikifanya utafiti ili kufahamu applications bora kabisa za kiswahili zilizotengenezwa Tanzania ama na watanzania lakini sijapata nyingi zaidi ya Jamii Forum Millard Ayo na Pamoja app.
Je kuna mtu mwingine anafahamu app yoyote ya kitanzania?!
Hakiki
 
Whats-App
Huo pia ni ushamba?
Achaga hizo kelele mkuu
Inaweza kua ni ushamba kwa mtazamo wa mtu. Mimi nimebahatika kufanya shughuli zinazo husiaana na Applications. Trust me, kuna watu hawajui kabisa. Kuweka neno app Kunarahisisha mambo mengi ikiwemo mauzo.
Neno App likitamkwa moja kwa moja kwa mtu ambae hajawahi kusikia uwepo wa kitu hicho anaelewa ni kitu gani na anakipata wapi. Kwa Mfano: Mtu akisema Pamoja Inaweza kua na maana tofauti kabisa na mtu akisema Pamoja App kulingana na matumizi halisi ya lugha.
 
Wadau nimekua nikifanya utafiti ili kufahamu applications bora kabisa za kiswahili zilizotengenezwa Tanzania ama na watanzania lakini sijapata nyingi zaidi ya Jamii Forum Millard Ayo na Pamoja app.
Je kuna mtu mwingine anafahamu app yoyote ya kitanzania?!
nishakula magoma kazaa from Pamoja App.....
 
Jamii forums app haijatengenezwa Tanzania last time I checked ni turn key solution kwa ajili ya yoyote mwenye forum inayotumia software wayotumia JF.
 
Jamii forums app haijatengenezwa Tanzania last time I checked ni turn key solution kwa ajili ya yoyote mwenye forum inayotumia software wayotumia JF.
Imetengenezwa wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom