GE2025 Apostle Nick Shaboka: Kuilinda Tanzania ni muhimu kuliko kupigania ndoto za mtu fulani

GE2025 Apostle Nick Shaboka: Kuilinda Tanzania ni muhimu kuliko kupigania ndoto za mtu fulani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Akizungumza katika kipindi cha radio Gospel Traxx Clouds FM Apostle Nick Shaboka ametaka Watanzania kwa pamoja kuilinda amani kwani Tanzania ni muhimu kuliko kupigania matakwa au ndoto za mtu mmoja hasa katika kipindi hiki ambapo kumekuwepo kwa taarifa nyingi, ushawishi mwingi na kampeni tofauti zingine hazina nia njema

"Kulinda amani ya Tanzania ni jambo la msingi sana ku;liko kupigania matakwa na ndoto binafsi ya mtu yeyeote yule"- amesema Apostle Nick Shaboka

Mama Kamanda Samia.jpg
 
Kulinda rasilimali za nchi au kulinda kikundi kidogo na familia zao ziendelee kuishi kama ziko peponi
 
Akizungumza katika kipindi cha radio Gospel Traxx Clouds FM Apostle Nick Shaboka ametaka Watanzania kwa pamoja kuilinda amani kwani Tanzania ni muhimu kuliko kupigania matakwa au ndoto za mtu mmoja hasa katika kipindi hiki ambapo kumekuwepo kwa taarifa nyingi, ushawishi mwingi na kampeni tofauti zingine hazina nia njema

"Kulinda amani ya Tanzania ni jambo la msingi sana ku;liko kupigania matakwa na ndoto binafsi ya mtu yeyeote yule"- amesema Apostle Nick Shaboka

Huyu naye tapeli tu, sasa ndoto binafsi ni ipi wakati watu wanaongelea matukio ya kutekwa na ufisadi yanayoathiri watu wengi.
 
Aposto wa mchongo, huko ni kujipendekeza kwa watawala, nani anapiganiwa ndoto yake? Huyo tapeli ana lugha ya shombo. Watu wanataka haki, watu wanataka usalama wao, mbona huyo mchongo anajizima data? Kama kuna mtu anapiganiwa ndoto basi hata kupiga kura ni kupigania watu ndoto zao, shame on him
 
Hawa michongo walitakiwa wawe kati/neutral kuliko kuegemea upande wa wenye nguvu. Hoja ya maandamano ni hoja thabiti, ni njia mbadala kutaka haki bada ya njia kupiga kura kufeli pakubwa kwa kukumbwa na udanganyifu kila uchaguzi ikabidi ije njia ngumu kama hiyo. Haijulikani kama kuna maandamano au hakuna ujumbe umefika kwa wahusika watafanya reform. Wasipofanya watakutana na mtiti mnene zaidi ya huu.
 
Back
Top Bottom