Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Hahahahaaaaaaaaa! (It is not a laughing matter and i am ashamed of my self for laughing a sensitive matter like this. :tape2🙂
HIVI UKO SERIOUS HONEY BOO BOO ANASTAHILI KUSAMEHEWA KIBINADAMU KABISAAA, KATIKA HALI YA UBINADAMU WANGU?
1. Nilimkosea nini mimi, uzi sio wake, niliji kmentia katoka huko huko alikotoka jini majinuni kaja kunikumba ndiiiiiiiii! Tobaaaaaaaa!
2.Wazazi wangu walimkosea nini? Anawajuaaa? Vizee vya watu maskini ya Mungu.
3.Uzi sio wake ule kilichomuuma sanaa mpaka kunitukana haya yote nini? Bora uzi ungekuwa wake ningesema ana machungu na yule demu.
4.Hivi kweli hivi vituu ni vya kuwazia au kumuombea japo adui yako achia mbali binadamu mwenzie? Kweliii? Tena katika umri mdogo? La hasha huu si uungwana.
5.Was it worth it? Yaani dume zima kushindwa kubishana kwa hoja na demu ndo ukatili wote huu wa kijinsia ukutoke kinywani? Angeniachia nishinde angekufaaa? La hasha aisngekufaa! Angeignore comment yangu angebabukaaa? La hasha asinge babukaaa! ALITIA NIA YA KUNICHIMBA NA KUNIDHALILISHA KIJINSIA SIBUREE WALA KUPITIWAAA!
HASTAHILI KUSAMEHEWA KWA VITENDO HIVI VYA UKATILI WA KIJINSIA, UNYANYASAJI WA MWANAMKE, NA KUOMBEA UOVU WATOTO WADOGO. HUYU SI BINADAMU NA HANA UTU HATA KIDOGO. SITAKI ANIOMBE MSAMAHA WALA SIWEZI KUMSAMEHE.![]()
![]()
![]()
![]()
Nimeamua kuandika kiarabu kabisaaa!!!!!!!!!!
Afazali umetumia kinyerere hapa wanafunzi wenzangu BADILI TABIA Mamndenyi na Watu8 titakua timeeleana na wewe....
Ngoja titoke darashany tije tikupe sapoti kubwa letu.
Peana naye mama mpk aombe poo.
Last edited by a moderator: