lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
hili libwana linaona sifa tu sidhani km linataka kuomba msamaha,sikuwepo lakini huo ndio ukweli....wewe capt Nemo katubu kwa muumba wako...nyau we...topic ishafutwa,km kuomba msamaha na kweli ulidhamiria kuomba msamaha ungemuomba mwenyewe kny message ya huko pembeni,sio kuendelea kujishaua hapa km kweli uliyoyaongea yalikuwa kweli kuwa kuna uwezekano mdada ni muhanga...hapa unajidai kuomba msamaha wana JF wakati huo huo unajidadi inawezekana uliyoangea yalikuwa kweli huoni km huu ni msumali na ushindwe msonyooo
Msamehe tu he is just PUSSY WHIPED so he doesnt think clearly! Hahahahaaaaaaaa!