Aplication form ya Viettel

Aplication form ya Viettel

rkgx

Senior Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
100
Reaction score
81
Mwenye application form ya Viettel please naomba anitumie manengula@gmail.com maana niliapply enzi zile za egotel na nika-submit kumbe limechukua shirika jingine mimi sikuwa na taarifa. So nahitaji niapply maana jamaa wana nafasi nyingi tu nasikia.
 
Kama uliapply enzi za egotel that's good enough.Kama hawajakutafuta bado basi mchakato unaendelea. Wengi waliomba enzi za egotel na wametwa kwa interview, keep calm wait for ur turn.
 
Masterkey Poa mkuu nahisi itakuwa hivyo ngoja niendelee kusubiri besides i have been sent the application form already.....kwahiyo thank you guys mlionitumia form however nimegundua ni ile ile ambayo nilituma enzi za egotel.
 
Last edited by a moderator:
Walinitafuta this week nikawa nje ya dar wakaniambia interview za walio apply mwanzo mwisho ijumaa ya jana so km sitaweza kufika ni apply upya,..,.
So km ujaitwa apply upya round iliyopita washamaliza
 
Naombeni contact zao hada email, coz hata me nimeambiwa nafasi bado zipo,
 
Back
Top Bottom