mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,300
- 523
Katika daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto wake.
Mtoto akakataa!
Mama akamwambia "nyonya
kama hutaki nampa Anko anyonye" (Anko ni kaka mmoja abiria aliyekaa na huyo mama pembeni).
Mtoto akanyonya kidogo akaacha!
Mama akamtishia tena kumpa Anko!
Ndipo yule kaka kwa hamaki akasema ''Mama uwe na msimamo.Unajua nimepitiliza vituo vinne kwa ajili yako, hebu kuwa mkweli! Utanipa ninyonye aau nishuke?"