Apewa makavu na mmiliki wa FaceBook

Apewa makavu na mmiliki wa FaceBook

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,438
upload_2016-12-27_11-22-11.png
 
Hahaahaaa na wanao kuwa notified ni friends only.
 
Kumbe weupe nao wanajua kutoa majibu ya mkato hahahahah
 
Ofcoz, ilibidi jamaa awe na urafiki na jesus kwenye facebook, ili apate notifications kuwa birthday yake imefika.

Hahahahaaa
 
Hajui kama Wayahudi hawaamini mambo tunayoyaamini ya Yesu haswa Tarehe ya Kuzaliwa wao mpaka wapate Fact so haman fact kama Jesus alizaliwa Tarehe 25 Dec
 
Back
Top Bottom