Apartment inapangishwa ndani ya Ubungo NHC

Apartment inapangishwa ndani ya Ubungo NHC

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,143
Reaction score
369
Mpya. Ina vyumba viwili vya kulala, jiko, na sebule. Kodi Tshs 900,000. Kuiona piga simu hii 0784225000.
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • 20140328_144339.jpg
    20140328_144339.jpg
    20 KB · Views: 1,200
  • 20140328_144351.jpg
    20140328_144351.jpg
    15.4 KB · Views: 1,190
  • 20140328_144359.jpg
    20140328_144359.jpg
    10.2 KB · Views: 363
  • 20140328_144547.jpg
    20140328_144547.jpg
    7.6 KB · Views: 372
  • 20140328_144612.jpg
    20140328_144612.jpg
    11.1 KB · Views: 1,192
  • 20140328_144557.jpg
    20140328_144557.jpg
    9 KB · Views: 366
  • 20140328_144629.jpg
    20140328_144629.jpg
    10.6 KB · Views: 369
Wizi mtupu laki 9 per month? N.Msechu umeona huku nyie mnawapangisha kwa elfu 80 wao wanapiga cha juu.
 
...mkuu laki tisa kwa mwakaaa au mwezi, nhc...???
 
Laki tisa kwa vyumba viwili tu vya kulala, dah ndio maana watu hawaachi kufanya ufisadi maana bila mbinu mbadala utawezeja kwa income ya laki saba kwa mwezi.
 
Kuna mtu anakaa gorofa ya vyumba viwili laki 9????dar au london? Hata appartment paris zipo bei chee kuliko hiyo
 
Hivi ni wangapi tz wana mshahara angalau wa laki tisa.dah laki tisa kodi tuu ya mwezi
 
Hivi hizi nyumba bei ya halali kabisa ni kiasi gani? cha juu ni sawa tu haina tabu kulipa, lakini nataka kufahamu bei halali ya shirika ni kiasi gani?
 
Wizi mtupu laki 9 per month? N.Msechu umeona huku nyie mnawapangisha kwa elfu 80 wao wanapiga cha juu.

aaaah, taratibu kaka haiwezi kuwa elfu80!!!! mi nafkiri itakuwa aroun 500k, yeye anakula laki4
 
aaaah, taratibu kaka haiwezi kuwa elfu80!!!! mi nafkiri itakuwa aroun 500k, yeye anakula laki4

Wewe ni cheap sana kuna jamaa amepanga upanga apartments za NHC vyumba vi3 sebule,jiko,public toilets,kibalaza cha juu kwa Tsh 200,000/= hapo wanaowalipa wameweka hela ya udalali maana hawalipi direct NHC.
 
Namjua mtu analipa 3m kwa mwezi vyumba vitatu vya kulala.

Ghorofa...Ok hata kama siyo ila unakuta nyumba ni fully furnished kwa bei hiyo we unaingia na nguo zako unakuta makochi, jiko, meza, makabati...huwezi pewa nyumba empty kwa hiyo bei.
 
weka bei halali tafadhari tufanye biashara.
 
Wewe ni cheap sana kuna jamaa amepanga upanga apartments za NHC vyumba vi3 sebule,jiko,public toilets,kibalaza cha juu kwa Tsh 200,000/= hapo wanaowalipa wameweka hela ya udalali maana hawalipi direct NHC.

Kama niyo hivyo basi jamaa kasimamia kucha vibaya, sikujua bei halali ya nhc mkuu, asante.
 
Mpya. Ina vyumba viwili vya kulala, jiko, na sebule. Kodi Tshs 900,000. Kuiona piga simu hii 0784225000.
attachment.php

attachment.php

attachment.php

Wizi mtuuuu, maximum per month kwa flat zile ni sh 350,000 acha kuwaibia watu napajua na ninajua vizuri sanaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom