Apartment inapangishwa ndani ya Ubungo NHC

Apartment inapangishwa ndani ya Ubungo NHC

Long time enzi hizo nakumbuka umenyeni kule maeneo ya ya mainzini kama unaenda Ilboru da wasichana wote ukiwaangalai wazuri kwa sura ila akicheka lo! meno hayafai, hafu wakati wa kiangazi lile vumbi la mchanganyiko na jivu la volcano balaa tupu kipindi hicho ndo AAA ilikuwa anaanza basi ilikuwa balaa.

Dar Nshapakacha kitambo nipo Umenyeni nakula maisha tu.
 
Long time enzi hizo nakumbuka umenyeni kule maeneo ya ya mainzini kama unaenda Ilboru da wasichana wote ukiwaangalai wazuri kwa sura ila akicheka lo! meno hayafai, hafu wakati wa kiangazi lile vumbi la mchanganyiko na jivu la volcano balaa tupu kipindi hicho ndo AAA ilikuwa anaanza basi ilikuwa balaa.

Nimekumbuka mbali sana...ilikuwa zangu kwenda umenyeni kutega mingo kusubiri wasichana wa Ilkiding'a.Wakati huo ukijitambulisha kuwa unasoma Ilboru tayari ushang'oa mtoto
 
hivi yule jamaa aliekuwa analalamika kapigwa na mleta uzi vipi?
 
NHC wakijua unapangisha kwa bei hiyo lazima waichukue otherwise uwe ni mmoja wao,,maana hizo nyumba ni bei rahisi lkn mtu anakupangisha mara4 ya bei halali ndio maana MALIOO yote anayafanya mwenye nyumba, mi nakumbuka mzee alikua anafremu k/koo alimpangisha Mhindi mmoja hiv aisee alikua anampiga mbaya mwisho wa siku ilibidi amuuzie kabisa na hadi leo anajuta.
 
nhc wakijua unapangisha kwa bei hiyo lazima waichukue otherwise uwe ni mmoja wao,,maana hizo nyumba ni bei rahisi lkn mtu anakupangisha mara4 ya bei halali ndio maana malioo yote anayafanya mwenye nyumba, mi nakumbuka mzee alikua anafremu k/koo alimpangisha mhindi mmoja hiv aisee alikua anampiga mbaya mwisho wa siku ilibidi amuuzie kabisa na hadi leo anajuta.

malipo*
 
Duh bei sawa na mamtoni na hata imezidi baadhi ya maeneo.
Bei kama hizo mitaa hii unafuliwa mpaka shuka,unasafishiwa choo na bafu na jiko lipo hapo
 
Hii siyo property ya National Housing. Ipo under private ownership. Mtu kauziwa na NHC sasa anaipangisha.Siyo kila mtu kakusudiwa kuja kupanga hiyo nyumba. Hiyo imelengwa kupangishwa kwa mtu wa tabaka fulani la kiuchumi. Hapa Dar kuna watu wanapanga mpaka nyumba za 16mil kwa mwezi unalijua hilo? Biashara mazungumzo kama umeipenda nyumba unakuja na ofa yako. Kutoa shutuma au lawama hakuna tija. Hii ndiyo Dar es Salaam yetu asilimia 75 ya nyumba zimejengwa katika makaazi holela. Hii inatujulisha kuwa hizo nyumba chache zilizojengwa katika hiyo asilimia 25 bei zake zitakua juu. Ukienda USA utashangaa kuona bei za nyumba nyingi zipo chini kuliko hapa. Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zimejengwa katika maeneo yaliyapangiliwa.
Hii ndiyo hali halisi katika soko la nyumba TZ.
Nikukumbushe kidogo kuhusu Law Of Supply And Demand
''The law of supply and demand defines the effect that the availability of a particular product and the desire (or demand) for that product has on price. Generally, if there is a low supply and a high demand, the price will be high. In contrast, the greater the supply and the lower the demand, the lower the price will be''
 
Kijana kumbe ulisoma boyz ndo maana avator yako kama ilivyo inapnekana kuna raha uliziruka sasa unazirejea,

Nimekumbuka mbali sana...ilikuwa zangu kwenda umenyeni kutega mingo kusubiri wasichana wa Ilkiding'a.Wakati huo ukijitambulisha kuwa unasoma Ilboru tayari ushang'oa mtoto
 
CYBERTEQ Hiyo siyo property ya shirika la nyumba. Ipo under private ownership.
 
hivi yule jamaa aliekuwa analalamika kapigwa na mleta uzi vipi?

hahaha, yule alipigwa na kitomari bana siyo kitomai! kitomai hauzi vifaranga, yeye ni full maproperty siku likimlipukia anakamata project yake ya nyumba mia tano mtamtaka.
 
Hivi hizi nyumba bei ya halali kabisa ni kiasi gani? cha juu ni sawa tu haina tabu kulipa, lakini nataka kufahamu bei halali ya shirika ni kiasi gani?

so far hakuna sheria yoyote ile inayodhibiti masuala ya nyumba na gharama za upangaji kwa ujumla na ndo maana wenye nyumba wanaamua vyovyote watakavyo kuhusu bei
 
Mh..... frema120 nipatie contact za mtu aliyepangisha kwa bei hiyo hapo au kama ni wewe umepangisha nitumie copy ya contract nikithibitishe hicho unachokidai. Otherwise utakua unapotosha umma. Na unafanya hivyo kwa sababu haujaweka jina lako asilia hapa.
 
hahaha, yule alipigwa na kitomari bana siyo kitomai! kitomai hauzi vifaranga, yeye ni full maproperty siku likimlipukia anakamata project yake ya nyumba mia tano mtamtaka.

samahani mkuu majina yamefanana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom