Na hapo umeassume occupancy rate ya 100% kwamba unit zote 4 zina wapangaji siku zote kwa miaka 52π’ which is not realistic so ni zaidi ya miaka 70 kurudisha hyo pesa.
Kiuhalisia hizo nyumba unaweza kukuta zinauzwa milioni 600 mpaka 800 ila dalali kaongezea milion 600 za kwake,hivi hizi nyumba zinazouzwa kuanzia billion 1 huwa zinapata wateja?
Angewekeza utt angepata ngapi Kila mwezi angekuwa anapata 15M huku amekaa hapigizani kelele na mpangaji.
Kwa mwaka anazo 180M ukitoa na 10% AS TAX ANABAKIA NA 162M ambayo anajenga nyumba ya Kila mwaka anasimamisha