Apartment for rent: No black people

Apartment for rent: No black people

Huyo anaprovoke tu, don't be provoked.

Ila Malaysia na India yapo maeneo mwafrika hapangishwi. It is official kabisa.

Ni ubaguzi, ambao waafrika tunatakiwa kupigana nao kisayansi kwa kukuza uchumi wetu mpaka wawe wanatuhitaji.
 
Tatizo black people mostly dont care no matter where their they cause trouble" nimequote mzungu walimuuliza why you hate black people? I hate racism ila to some extent some black people dont care tunaweza chukulia mfano Africa ambako ni home kwa black people mostly hatujali mazingira machafu kama sio kwetu vile viongozi wezi kama sio kwao the same to african american community maeneo wanayoishi machafu wanauana!!!

Pole, hujaona wanapoishi waAsia.
 
Huyo anaprovoke tu, don't be provoked.

Halafu inawezekana kabisa wala asiwe mzungu.

Inawezekana akawa ni mtu wa race yoyote ile ikiwemo black!

Na kwa jinsi tu tangazo linavyoonekana, ni kama vile ni la Craigslist.
 
Mkuu unawea ukaibuka mshindi katika haya maongezi lakini hatuwezi kukwepa ukweli kwamba watu weusi tuna matatizo.
Ni wabinafsi na hatujali kitu.
hatujali future hauchukui tahadhari yani tupo tupo tuu.

Maneno yako wewe hayawezi kuwa ukweli, sema hivyo ndio unavyoamini wewe nitakuelewa. Kama unafikiri watu weusi tuna matatizo, hao watu weupe wasiokuwa na matatizo nitajie wanapatikana nchi gani? Na kama unasema watu weusi ni wabinafsi labda huwajui wazungu. Na kama hujali future, huchukui tahadhari na upo upo tu labda wewe wala sio mimi. Acha kutukuza wazungu hata kama wamekupa kibarua.
 
Hata uliyoandika hapo pia ni maoni yako binafsi na ni jinsi unavyoamini wewe.
 
Hata uliyoandika hapo pia ni maoni yako binafsi na ni jinsi unavyoamini wewe.

Sawa lakini acha kujidharau sababu tu una ngozi nyeusi mkuu. Kujiaminisha kwamba watu weusi ni wachafu na weupe ndio wasafi hiyo ndio mental slavery. Usiwaone tu kwenye TV ukafikiri ndio miungu watu, wazungu ni sawa na sisi tu, wapo wa kila aina na maisha yao yanatofautiana vilevile. Wale watu tu.
 
Ndio maana nilikwambia usijibu emotionaly.
Soma tena pots zangu, sijasema hata sehemu moja kuwa wazungu ni wasafi.

Nilisema waafrika tunamatatizo, tuwabinafsi na hatujali future.

Quote me anywhere niliposema wazungu ni wasafi.
 
Unaposema watu weusi ni wachafu, opposite yake ni kwamba watu weupe ni wasafi. Hata hivyo kama hutaki nafurahi maana umeanza kurekebisha kauli zako.

Again, sio waafrika tu, hata wazungu wanamatatizo vilevile, na kwa ubinafsi wao ni wabinafsi kuliko sisi. Na kuhusu future labda wewe ndio hujali future, lakini kuna waafrika hata wabongo wengi tu wanaojali future. Na hao wazungu sio wote wenye plan ya maisha, wapo wengi wameshapoteza mbaya tu, labda unawaona kwenye TV tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom