Apartment for rent: No black people

Apartment for rent: No black people

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,824
11227515_10200617781243937_1484614755137301095_n.jpg
 
Duh hii kali inaelekea waafrika ni shida sana.
 
kuna ndege anaitwa penguin,hushi sehem za baridi sana ana rangi mbili nyeupe na nyeusi na wazungu wanampenda sana bila kumbagua kwenye hilo andiko huyo mzungu hataki black people kwa sababu hamjui penguin tumpelekee mmoja tuone atamtupa ,
 
Tatizo black people mostly dont care no matter where their they cause trouble" nimequote mzungu walimuuliza why you hate black people? I hate racism ila to some extent some black people dont care tunaweza chukulia mfano Africa ambako ni home kwa black people mostly hatujali mazingira machafu kama sio kwetu vile viongozi wezi kama sio kwao the same to african american community maeneo wanayoishi machafu wanauana!!!
 
Ukimuona tena mzungu wako mwambie nimesema tatizo white people don't care and they cause trouble, na ukiniuliza mimi vilevile ntakwambia I hate racism ila to some extent some white people don't care tukichukulia mfano Europe home of white people viongozi pia ni wezi mfano hai ni Sep Blatter na kundi lake. Na wazungu vilevile wanaua watu mfano hai ni mauaji ya jana kule South Carolina (Double standard eeh? )

Mkuu unawea ukaibuka mshindi katika haya maongezi lakini hatuwezi kukwepa ukweli kwamba watu weusi tuna matatizo.
Ni wabinafsi na hatujali kitu.
hatujali future hauchukui tahadhari yani tupo tupo tuu.
 
Mkuu unawea ukaibuka mshindi katika haya maongezi lakini hatuwezi kukwepa ukweli kwamba watu weusi tuna matatizo.
Ni wabinafsi na hatujali kitu.
hatujali future hauchukui tahadhari yani tupo tupo tuu.

Mkuu wamekulipa sh ngapi
 
Tuache ulalamishi, penye ukweli tukubali tu! Mfano hata mm ningekuwa na nyumba yangu napangisha nitaandika ksbisa bango kuuubwa sitaki wahindi kwny nyumba yangu kwa sababu ni wachafu!

Atakaeniona mi mbaguzi achukue time yake???
 
Hakunaga kitu kama hicho,ndo mana hakuacha contact zake.Ni kosa la jinai haswa north amerika ukionesha wazi kubagua watu kwa rangi ya ngozi yao.
 
Daaaanh kwa biashara hiyo ya kupangisha . . . . . . . .weusi sie tuna shida sanaaa ukweli usemwe
 
Hapo yamesahaulika maneno...Pets allowed
 
Haya mambo ya kwenye mitandao si ya kuamini kirahisi rahisi tu.

Hili tangazo lina vitu havi make sense.

Mbona halina anuani nzima?

Hiyo 438 Lafayette iko wapi? Na ni Lafayette nini - Road, Drive, Parkway, Avenue?

Elmwood village nayo iko wapi?

Zip code iko wapi?

Mbona hakuna namba ya simu?

Limebandikwa wapi?

Isije ikawa mtu tu kaamua kufanya ushenzi wake kwa ajili tu ya kinachoendelea huko SC.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom