Apanda Mlima Kilimanjaro kwa Saa 24

Huo mlima utauona mrefu kupanda ukipanda na makundi maalumu km

Wanawake
Wazee
Watoto
Na wenye vitambi uzembe
 

huyu mzungu janjajanja sana, amekuja tz kutengeneza profile ya jina lake kwa kupitia mlima kilimanjaro.

waliomu-host wanamtambulisha kama mwendesha baiskeli bora duniani, ila uki search taarifa zake mitandaoni, inayomuelezea, wala mashindano aliyowahi kushinda.

na kwa makusudi kabisa, amefuta page yake ya instagram.

ukweli utajulikana tu.
 
nakuambia nimeshapanda mara 4 ule mlima. Mara ya mwisho ni july 2022. Tulienda kiofisi na waliotuchelewesha nii mademu na vibonge. MIIMA KILIMANJARO NAPANDA NA KUSHUKA MASAA 8 YANATOSHA VIZURI.
Unamaanisha kuanzia getini?
 
Mita elfu tano au sita tuseme ni sawa na kilomita 6 approximately. Hata kama ni mlima lakini saa 5 hazizidi kupanda huo mlima kwa energetic person yeyote.
Hizo zingine ni blaa blaa na ulaji wa watu wengine.
 
Be careful iko siku utawekewa jiwe la kumbukumbu mahali mwili umeachana na roho!
Jana ya kilimanjaro sio leo ya kilimajaro!
 
Mimi nimeupanda mara mbili kupitia machame gate. Achana na hawa madogo wanaoongea tu bila kuwa na experience yoyote. Wanauchukulia mlima KLM kama kijilima flani hivi bila kujua changamoto za hali ya hewa zilizopo ndizo zinazofanya safari iwe ndefu.
Waache wajifanye wajuaji! Siku wakianza kuwekewa mawe ya kumbukumbu mahali roho zao ziliacha mwili ndio watajifunza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…