Apanda mlima kilimanjaro kwa mikono

inauma sana kuona wenzetu wanautangaza mlima wakati sisi tumelala. Juzi kwenye maajabu ya dunia tumeshindwa na table mountain wa south africa; but dunia inajua kuwa Kili ni kitu muhimu?!, kwanini cc tusiutangaze?


Tunasubiri msaada wa kila kitu....mwisho itakuwa mbaya kuliko sasa
 
hapo inadhihirisha wazi kabisa, bora uwe mnyama tanzania utathaminiwa kuliko mlemavu












images





Ona hii ringo.... ummu kulthum.... Megawati....Ndalo na wengine wenye moyo safi..picha moja maswali lukuki
 
Back
Top Bottom