Apa Kuna Matumaini Au Niwapotezee

Apa Kuna Matumaini Au Niwapotezee

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
657
Habarini ndugu zangu,

Nina kama mwezi na wiki moja tangu nilipofanya usahili na kampuni moja mkoani Dodoma na kufaulu lakini mpaka leo hawajaniita kazini wakidai kuna mambo wanakamilisha kisha wataniita,swali langu ni je kwa kauli yao hiyo kuna dalili za mimi kupata kazi kwenye kampuni yao au washaweka mtu mwingine?
Wenye ufahamu na haya mambo naomba mnipe msaada wa mawazo

Shukrani kwa watakaonipa majibu
 
Mbishi 4 real babuu subiri aisee. Ila kama huna deal for the time being, unaweza endeleza michakato ya kusaka ajira kama kawaida. Unaweza ukapata kwingine kunono zaidi au wale wale wakakuita..
 
Last edited by a moderator:
Habarini ndugu zangu,

Nina kama mwezi na wiki moja tangu nilipofanya usahili na kampuni moja mkoani Dodoma na kufaulu lakini mpaka leo hawajaniita kazini wakidai kuna mambo wanakamilisha kisha wataniita,swali langu ni je kwa kauli yao hiyo kuna dalili za mimi kupata kazi kwenye kampuni yao au washaweka mtu mwingine?
Wenye ufahamu na haya mambo naomba mnipe msaada wa mawazo

Shukrani kwa watakaonipa majibu

Wewe endelea kusubiri wakati huohuo endelea na shughuli zako za kila siku. Kampuni zingine huwa zinachukua hata miezi 3 kuja kumwita mtu aanze kazi. Be patient.
 
ndg subiria kuna best yangu alfanyaga usaili mwaka 2011 ameitwa mwaka jana 2013 mwe wa 9 kazini vmilia mutegemee mungu utaitwa tu ndg wala ucwe nahofu pga mishe nyengne ukiwa unasubiria
 
Shukran kaka kwa ushauri
 
Back
Top Bottom