Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,812
- 2,734
Habari wakuu.
Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu.
Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi na tano.Pia kina mbinu za ujasiriamali.
Kinapatikana pia katika mfumo wa softcopy ambayo inatumwa kwa whatsap.Bei ni ths.5,000/-
Elfu tano tu.
piga:0713-039875
Wewe umeshaanzisha kiwanda?Habari wakuu.
Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu.
Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi na tano.Pia kina mbinu za ujasiriamali.
Kinapatikana pia katika mfumo wa softcopy ambayo inatumwa kwa whatsap.Bei ni ths.5,000/-
Elfu tano tu.
piga:0713-039875
Namshukuru mungu, tazama picha hapa naandaa sabuni ya ngozi.Wewe umeshaanzisha kiwanda?
Kashata hamna, tafuta wale wajasiriamali wa upishi.yako maelekezo ya kutengeneza kashata na keki za bange??
Ukinunua hadi namba za simu za wauza material utapata. Kinaeleza hatua kwa hatua, lugha ni kiswahili. tazama hii picha yaliyomo.Vipi kinalezea pia upatikanaji wa material kwa watu wa mikoani? na je kinaelezea step by step, na vipi ni kirahisi kuelewa?
sijakuelewa ndugu, fafanua tafadhali.Weka mfano wa wazo moja na jinsi linavyotekelezeka.
Tafuta soko la vitu vyako kwa weredi mkuu, hivyo tu haitoshi.
nimeattachWeka picha!
Namshukuru mungu, tazama picha hapa naandaa sabuni ya ngozi.
Maelezo yangu umeyajibu kwenye picha. Nilikuwa natoa ushauri kwenye thread ujieleze kwa kina.Weka mfano wa wazo moja na jinsi linavyotekelezeka.
Tafuta soko la vitu vyako kwa weredi mkuu, hivyo tu haitoshi.
Wewe una kiwanda chochote?bidhaa zako zilizo sokoni ni zipi?Habari wakuu.
Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu.
Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi na tano.Pia kina mbinu za ujasiriamali.
Kinapatikana pia katika mfumo wa softcopy ambayo inatumwa kwa whatsap.Bei ni ths.5,000/-
Elfu tano tu.
piga:0713-039875
Shukrani. Karibu tuthubutu kwa pamoja.Maelezo yangu umeyajibu kwenye picha. Nilikuwa natoa ushauri kwenye thread ujieleze kwa kina.
Nimependa.... Hongera sana...
Kiwanda hiki nimeattach. Bidhaaa yangu ni pamoja na hayo maarifa watu wanayonunua.Wewe una kiwanda chochote?bidhaa zako zilizo sokoni ni zipi?
mara nyingi maprofesa wanaofundisha uchumi hawana hata genge la kuuza nyanya. , hungoja mshahara tuu, sasa sijui ni wa huku kwetu bongo pekee au hadi huko kwa ngozi nyeupe.Wewe una kiwanda chochote?bidhaa zako zilizo sokoni ni zipi?
Kashata hamna, tafuta wale wajasiriamali wa upishi.