Anza Leo, Acha Kuahirisha

Anza Leo, Acha Kuahirisha

Dah! umenikosha mara zote nimekuwa nikiwaza hilo lkn nimekuwa mtumwa mno wa mikopo hadi naishi kwa shida! maskini mm! labda ntaanza mwakani.
wadau fikiri suppose napata take home sh. let's say 900,0000 (i.e kwa wale wenye mapato hayo and above)
nikaamua kusave 500,000 kila mwezi(NB; kwa yule anayeweza)
kwa mwaka utakuwa na 6,000, 000.
hatupaswi kusema kuwa hatuwezi kuweka, shida ni discipline ya kujinyima na kujikubali kuishi kwa salio dogo. but if you can, unaweza kufanya wonders!!! karibuni wadau. Haya ni mawazo yangu waweza kuwa na mawazo yako pia
Mkuu upo sawa kabisa. Tatizo kubwa walilonalo watu wengi ni kushindwa kuahirisha manunuzi ambayo si ya lazima.

Let's say leo mtu kaokota Tsh 1,000,000/=. Kama mnywaji atasema ngoja nikajipoze kwanza na ka laki. Baada ya hapo ataanza kujijengea hoja ya kujishawashi, ooh nimeishiwa viatu,ooh siku nyingi sijaenda club, mara ooh ngoja nimtumie dogo laki mbili maana nimemtupa siku nyingi. Ghafla unajikuta umebaki na elfu hamsini.

Kingereza ni lugha tajiri, wanasema lazima ujue tofauti kati ya NEEDS na WANTS.
 
Back
Top Bottom