mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,286
- 6,727
Je, umeanza kufikiria jinsi ya kujikinga na virusi vya korona? Basi anza sasa:
- Kisha fikiria unavyopokea na kutunza fedha;
- Kisha fikiria daladala za Mbagala;
- Kisha fikiria mwendokasi;
- Kisha fikiria mabasi ya mikoani;
- Kisha fikiria msikitini siku za ijumaa
- Kisha fikiria kanisani siku za Jumamosi na Jumapili;
- Kisha fikiria kwenye masoko yetu;
- Kisha fikiria kwenye vibanda umiza
- Kisha fikiria kwenye mashule yetu ya serikali;
- Kisha fikiria tamaduni zetu watanzania
- Kisha fikiria umakini wa wasimamizi wetu;
Mdomo wangu unajizuia lakini nausikia moyo wangu ukiniambia R.I.P
- Fikiria umakini wa marekani lakini umeshindwa kuzuia korona;
- Fikiria teknolojia ya China lakin imeshindwa kuzuia Korona;
- Fikiria nguvu ya Italy lakin nao wameshindwa kuzuia Korona.
KILA MTU KWA IMANI YAKE AMUOMBE MUNGU KWA JINSI ANAVYOAMINI ILI NCHI YETU HII ISIGUSWE NA GONJWA HILI.
Amina.