Anywa sumu kisa Demu

Anywa sumu kisa Demu

Mshikaji wetu mtaani alimaliza mwaka kwa kunywa sumu eti kisha msichana wake kamlia pesa then akamtosa na kuamia kwa rafiki yake kwasababu mshikaji kachacha lakini mshikaji akizipata demu anarudi tena,basi mshikaji akaona sio kesi ni bora ajitoe duniani asishuhudie demu wake akimsaliti,akaamua kununua sumu na cha ajabu akanunua na lita ya maziwa,akanywa sumu alipoona hali si nzuri akapiga fasta maziwa hakuishia hapo akapga makelele ya kuomba msaada,wanaume tukasogea geto kwake tukamkuta jamaa yupo hoi pembeni nusu lita ya maziwa na sumu ya panya.
Dah!Kweli mapenzi yana rani dunia.

Mngemchapa vibao kwanza
 
huyo msichana ni pepo la ufilisi hakuna mapenzi naye huyo akome si kila msicaihana ana utu tena ukatubu huyo kahaba
hastahiili uhai wa mbu licha wa binadamu
 
Anapenda vibaya huyu kijana ndo mana yamemkuta.
 
Alikua ana bipu kifo huyo hakuwa tayari kufa sasa maziwa ya nini?....
 
Back
Top Bottom