Anywa sumu kisa Demu

lahaullah!!!katukosesha dili,watu8 mjasiriamali wa majeneza angekuwa keshapiga dili tayari.na mwaka mpya huu,dah!!

Heheh mkuu tushakosa dili hapa....

Ilam usijali tutapiga kambi karibu na mtaani kwao najua upoyoyo bado haujamtoka huyu...
 
ni kweli Anna ni kweli kakosea lakini wakati Mwingine tujielekeze kuwaelewa wenzetu hata kama wamefanya makosa!

aise wewe umenena hapo...lazima uweze ku empathize ili uweze kuelewa y mtu anafikia hatua hiyo.
ebu nitafute pm nikupe zawadi yako
 
Mshikaji wetu mtaani alimaliza mwaka kwa kunywa sumu eti kisha msichana wake kamlia pesa then akamtosa na kuamia kwa rafiki yake kwasababu mshikaji kachacha lakini mshikaji akizipata demu anarudi tena,basi mshikaji akaona sio kesi ni bora ajitoe duniani asishuhudie demu wake akimsaliti,akaamua kununua sumu na cha ajabu akanunua na lita ya maziwa,akanywa sumu alipoona hali si nzuri akapiga fasta maziwa hakuishia hapo akapga makelele ya kuomba msaada,wanaume tukasogea geto kwake tukamkuta jamaa yupo hoi pembeni nusu lita ya maziwa na sumu ya panya.
Dah!Kweli mapenzi yana rani dunia.

Hayo ndio madhara ya kuwaza papuchi mda wote,
 
ni limbukeni2 huyo wanawake walivyojaa hivi!!!na kwan alinunua maziwa kama alikuwa anataka kufa kweli??mijitu mingine unatamani hata uipige panga....Kama alikuw anatak kukomoa angemwambia huyo demu wake aje getho achukue hela ya kusuka alaf amufoo saro2 ili wafe wote,damn it!!!
 
Back
Top Bottom