Anywa sumu kisa Demu

miss chaga uliwahai kupenda! acha hizi za kihuni ya true love yaani huoni wala husikii!
of course si-support kujidhuru lakini mtu yoyote kama hawi makini anaweza kufanya uamuzi wowote mbaya kwa muda wowote tu!
me huwan nikisema nakupenda huwa namaanisha kwa maana hiyo nimeshapenda ila nikikuona ubebeki aisee kukuweka kapuni huku nikiumia moyo sioni tabu aisee ila kuna eneo nimekwama lakini siwezi dhuru uhai wangu...... akileta za kuleta taratibu naweka pembeni sitaki stress maisha matamu cha kujiua kisa kidudu ni nini ? vidudu venywewe majanga matupu aisee siwezi na Mungu anisaidie huwo upuuzi usijenikuta
 
Ni kweli Blessed mapenzi hayana mwenyewe ila yanahitaji hekima peke yake kwn unaweza kufikia alipofikia jamaa, pengine wametoka mbali na ndicho kilichompelekea yeye kunywa sumu

ni kweli Anna ni kweli kakosea lakini wakati Mwingine tujielekeze kuwaelewa wenzetu hata kama wamefanya makosa!
 
mwambie akome, next time akijaribu tena kujiua hata akipiga kelele msiende, mwacheni na uzoba wake.
 
me huwan nikisema nakupenda huwa namaanisha kwa maana hiyo nimeshapenda ila nikikuona ubebeki aisee kukuweka kapuni huku nikiumia moyo sioni tabu aisee ila kuna eneo nimekwama lakini siwezi dhuru uhai wangu...... akileta za kuleta taratibu naweka pembeni sitaki stress maisha matamu cha kujiua kisa kidudu ni nini ? vidudu venywewe majanga matupu aisee siwezi na Mungu anisaidie huwo upuuzi usijenikuta

there you are miss chaga ,kwa jinsi mambo yalivvyo sasa heri usiwe na mpenzi(whi is impossible)au uingie mguu nje mguu ndani(which is not love)
 
Mshikaji wetu mtaani alimaliza mwaka kwa kunywa sumu eti kisha msichana wake kamlia pesa then akamtosa na kuamia kwa rafiki yake kwasababu mshikaji kachacha lakini mshikaji akizipata demu anarudi tena,basi mshikaji akaona sio kesi ni bora ajitoe duniani asishuhudie demu wake akimsaliti,akaamua kununua sumu na cha ajabu akanunua na lita ya maziwa,akanywa sumu alipoona hali si nzuri akapiga fasta maziwa hakuishia hapo akapga makelele ya kuomba msaada,wanaume tukasogea geto kwake tukamkuta jamaa yupo hoi pembeni nusu lita ya maziwa na sumu ya panya.
Dah!Kweli mapenzi yana rani dunia.

lahaullah!!!katukosesha dili,watu8 mjasiriamali wa majeneza angekuwa keshapiga dili tayari.na mwaka mpya huu,dah!!
 
there you are miss chaga ,kwa jinsi mambo yalivvyo sasa heri usiwe na mpenzi(whi is impossible)au uingie mguu nje mguu ndani(which is not love)

what is love ? i dont know if in this world their is love... i can love ma self na sitegemei kupendwa kiivyo yani duh hiyo haipo mpango ni mguu nadni mwingine nje, ila kuna maeneo unaweza jikuta umezama hata kichwa akionekani ni kujipa msimamo kuwa siwezi kujiumiza kisa mapenzi sawa best........ never
 
Hyu mwehu kabisa ni muhehe au vip
Coward mwanaume mzma anywa sumu kuchapiwa ni siri ya ndani ona sasa mpaka jf tunejua kachapiwa
 
Mi mwenyewe imeniuma jinsi alivyotuaibisha vidume,demu kapata bichwa kubwaaa mtaani,ashajiona ye ndo Queen wa Kitaa.
 
Back
Top Bottom