Anyongwa kwa kutohudhulia sala

Status
Not open for further replies.
Hivi ni kweli kumcha MUNGU kunalazimishwa? vitu vingine havielewekagia aisee,umnyonge mtu eti kisa hajaingia ktk ibada,na kwa nini iwe dini hii tu?kuna Christian,Hindu,Budha i think na imani zingine chungu mzima na hauwezi ona wanawalazimisha watu ktk imani kwa nguvu,why watu hawa tu?
 
Namkumbuka Salman Rushdie na aya zake za kishetani. Of all the hundreds of religions under the Sun ni moja tu hulazimisha watu kuiabudu kwa nguvu. May be kahtaan, FaizaFoxy, Ritz et. al. watakuwa na majibu.
 
Hivi ni kweli kumcha MUNGU kunalazimishwa? vitu vingine havielewekagia aisee,umnyonge mtu eti kisa hajaingia ktk ibada,na kwa nini iwe dini hii tu?kuna Christian,Hindu,Budha i think na imani zingine chungu mzima na hauwezi ona wanawalazimisha watu ktk imani kwa nguvu,why watu hawa tu?
ila hao ni magaidi ndio wamefanya hivyo, sio uislam
swali la kujiuliza hapa ni je uislamu unawaambia wafanye hivyo kweli?
 
Kama kweli mungu yupo inakuwaje binadamu wanaanza kufanya kazi ambazo ilitakiwa aafanye mungu.
 
Wale hushabikia hawa mazombi, ile siku watakuja huku mtakatwa vichwa wengi wenu maana nawafahamu japo mnajiita waislamu lakini huwa mnakwepa ibada mara nyingi.
 
ila hao ni magaidi ndio wamefanya hivyo, sio uislam
swali la kujiuliza hapa ni je uislamu unawaambia wafanye hivyo kweli?
Tutambue ya kwamba.watu hata kama ni wabaya wao kwa nini wasijifiche kwenye mwamvuli wa dini nyingine isipokua Islam tu? kuna madrasa nyingi tu binafsi nimeona.watoto baada ya masomo wanaingia ukumbini na wanafundishwa mapigano au kujihami na adui yoyote,sasa kama utafanya hvyo kwa watoto ukweli utawakuza ktk imani ya hyo tunayoiona leo hii duniani,na kama wakiwa darasani ukamuaminisha mtoto kua ukristo ni khafili wanapaswa kuuwawa ili upate thawabu,mtoto akikua ktk imani hyo atatenda nini?
 
ISIS extremists behead teenage boy after he missed Friday prayers ISIS extremists behead teenage boy after he missed Friday prayers

Kijana anyongwa mbele ya msikiti kwa kutohudhulia sala ya ijumaa mbele ya Waumini. Kumekuwa na July my kali kwa kosa lolote katika maeneo yanayodhibitiwa na isis nchini syria na Iraq
1.
Uzuri sisi wenye akili tunajua ISIS ni kina nani, na ndio maana URUSI wanawapiga siku zote.
ISIS ni sehemu ya washenzi wenye kupata back-up ya wamarekani, sio waislamu wale.
2. Kwani wakriso hawauwi, nani kakwambia. Fuatilia link hizi mbili ambazo zinaonyesha kuwa Christians wameshaua na wanaendelea kuua sana.

Christian terrorism - Wikipedia, the free encyclopedia

10 of the Worst Terror Attacks by Extreme Christians and Far-Right White Men
 
Kwa nini unaamini IS ni ya wamarekani wameiunda na usiamini kua Christian hawako hvyo ila ni waarabu wanatupiga mchanga wa macho ili tuamini kua Christian pia wanafanya hayo?
 
1.
Uzuri sisi wenye akili tunajua ISIS ni kina nani, na ndio maana URUSI wanawapiga siku zote.
ISIS ni sehemu ya washenzi wenye kupata back-up ya wamarekani, sio waislamu wale.
2. Kwani wakriso hawauwi, nani kakwambia. Fuatilia link hizi mbili ambazo zinaonyesha kuwa Christians wameshaua na wanaendelea kuua sana.

Christian terrorism - Wikipedia, the free encyclopedia

10 of the Worst Terror Attacks by Extreme Christians and Far-Right White Men
Hayo uliyoyaandika yanahalalisha kuuwawa kwa Hugo kijana?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom