Anyongwa kwa kutohudhulia sala

Anyongwa kwa kutohudhulia sala

Status
Not open for further replies.
Hiyo sio dini ya kweli, huwezi munyonga mtu kisa ajaenda kwenye Ibada, huo ni ugaidi tu.
 
Hayo uliyoyaandika yanahalalisha kuuwawa kwa Hugo kijana?
Sio jambo zuri kulaumu kundi moja la imani pasipo kuwa na taarifa za kutosha. Wanaofanya hayo matendo hawafanyi kwa misingi ya kiimani, zaid zaid huwa ni chuki zao wenyewe za kisiasa huku wakitumia migongo ya imani kama sabubu ya ushenzi wao wanaoufanya. That was my aim.
 
a
Kwa nini unaamini IS ni ya wamarekani wameiunda na usiamini kua Christian hawako hvyo ila ni waarabu wanatupiga mchanga wa macho ili tuamini kua Christian pia wanafanya hayo?

Kwani Jihad John alikuwa mtu wa asili ya kutoka nchi gani, ni alikuwa na imani gani?
 
Hii dini ni kulazimisha mwanzo mwisho kwa vitisho na visasi


"LAA IKRAHA FII DDIIN" hakuna kulazimishana katika dini...wewe umeambiwa na nani katika uislam kuna kulazimishana! hizo ni mbinu zilizobuniwa na magharibi kuumaliza ama kuuchafua uislam kwa kuachika hao ISISI! walikuwa Alqaeda sasa hawapo wamekuja ISISi! mh! kazi mnayo sana !
 
Sio jambo zuri kulaumu kundi moja la imani pasipo kuwa na taarifa za kutosha. Wanaofanya hayo matendo hawafanyi kwa misingi ya kiimani, zaid zaid huwa ni chuki zao wenyewe za kisiasa huku wakitumia migongo ya imani kama sabubu ya ushenzi wao wanaoufanya. That was my aim.
Shida ni kwamba wakiyafanya hayo hamtoagi matamko... mnakaaga kimyaaa..!
 
Waislam ifike mahali mjihoji wenyewe kama kweli ndo mmeangizwa kuyafanya hayo badala ya kulalamika eti ni wamarekani mbona hatuoni kwenye imani zingine.Hapo dar paliwahi kutokea vurugu kubwa kisa bucha za nguruwe je napo walikuwa ni wamarekani badilikeni ache kutafuta mchawi
 
Sio jambo zuri kulaumu kundi moja la imani pasipo kuwa na taarifa za kutosha. Wanaofanya hayo matendo hawafanyi kwa misingi ya kiimani, zaid zaid huwa ni chuki zao wenyewe za kisiasa huku wakitumia migongo ya imani kama sabubu ya ushenzi wao wanaoufanya. That was my aim.
Kwa mmoja mmoja huwa mnasemaga chochote kama hivi tthough utetezi wenu sehemu kubwa huwa mnasingiziaga wengine... LAKINI AS WAISLAM AU LET SAY WALIOKIWEPO KWENYE HUO MSIKITI... WAMESEMA LOLOTE..?? KAMA HAWAJASEMA WATATENGANISHWAJE NA UGAIDI..???
 
Hivi unajua ya kwamba Kuna asilimia kubwa ya Waarabu ambao ni Wakristu ???


Wanuawa huko huko kwao sababu ya imani yao. Sema mambo ya imani ni very delicate tuyaache
Sio jambo zuri kulaumu kundi moja la imani pasipo kuwa na taarifa za kutosha. Wanaofanya hayo matendo hawafanyi kwa misingi ya kiimani, zaid zaid huwa ni chuki zao wenyewe za kisiasa huku wakitumia migongo ya imani kama sabubu ya ushenzi wao wanaoufanya. That was my aim.

Hao wanaofanya mauaji hulazimisha wahanga wasone aya za Qur'an na wanapotekeleza azma zao huomba dua za kiislam. HAPO BADO UNAKATAA KUWA HAWAWAKILISHI IMANI HIYO
 
The boy was 16 yrs, only 16 yrs!!! So, he was a child still in need of guidance.

Thank You JESUS for putting me in Tanzania and showing me Your Ways. Thank You!
 
ISIS extremists behead teenage boy after he missed Friday prayers ISIS extremists behead teenage boy after he missed Friday prayers

Kijana anyongwa mbele ya msikiti kwa kutohudhulia sala ya ijumaa mbele ya Waumini. Kumekuwa na July my kali kwa kosa lolote katika maeneo yanayodhibitiwa na isis nchini syria na Iraq

Naomba mtu asije akasema ndo waislam walivyoagizwa Qur'an haijasema hivyo, ndio maana tunataka ulimwengu ujue kuwa hawa ISIS ni waovu wanaofanya dhulma na mauwaji kwa kigezo cha Uislam walichofanya si sahihi, chohote kinachofanywa kinyume na Qur'an ni dhambi hao ni wauwaji tu.
 
Labda tupate ufafanuzi kutoka kwa AbasMzeEgyptian na kahtaan
Hakuna sharia ya kulazimishana bali tumeagizwa kukumbushana na kuelezana tena kwa upole huruhusiwi hata kumuelimisha mtu kwa kufoka au kwa kashfa, labda kama baba yako au mama yako aongee tu ile kwa kukufokea ili ukaswali ni kawaida ya mzazi, lakini mie na wewe tunatakiwa tukumbushane kwa upole na busara hivyo ndivyo Qur'an inavyotaka, hao wanafanya uhalifu kwa mgongo wa uislam.
 
Naomba mtu asije akasema ndo waislam walivyoagizwa Qur'an haijasema hivyo, ndio maana tunataka ulimwengu ujue kuwa hawa ISIS ni waovu wanaofanya dhulma na mauwaji kwa kigezo cha Uislam walichofanya si sahihi, chohote kinachofanywa kinyume na Qur'an ni dhambi hao ni wauwaji tu.
K wani ile aya ya slay them unaifahamu?
 
Waarabu tofaut na waajemi(Iran) ndo maana wana akili nyingi.is hard to brain wish those people compare to arabians
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom