anyone on facebook can add me !

m0h4mm4d

Member
Jun 17, 2011
7
0
.. Find me there on fb and add me tuwe friends .. Nitakuaccept ucjali ..
Jina ni Mohammad Farouq Omar
 
Acha ujinga wewe nani mwenye shida ya kuwa na urafiki na wewe? Au usikute wewe una vielementi vya ubwabwanyo.Acha hizo mola hapendi jamanii..
 
Halaf mnamsema JK ana udini, afadhali yeye 'kama anao' anaufanya kimya kimya kuliko wewe unauonyesha kwa chuki.
JK ni mdini tena sana, ona majuzi wenzie wamemwalika sherehe yeye akawachokoza ma askofu, eti kasema wanauza unga duh!
 
We dogo ni mpumbavu sana tumia likizo usome kupandisha wastani hii mitandao ipo tu na inazidi kuwa mizuri soma kwanza au umetumwa humu nini?
 
FB mi najua ukiwaomba urafiki watu 5, watatu kati yao watakubali. Kwa hiyo we ukitaka kujaza friend list unasearch majina mbalimbali na kuwa-add, utashangaa wenyewe watakavyokubali na ghafla utakuwa umeshajaza list.
 
Huku ni JF tu mkuu sorry,kama ni FB ingia kwenye site yao!Mod ondoa hii thread plz!!!!!!!!
 
"When you judge another, you do not define them, you define yourself".. (Quoted ..Wayne Dyer)

"Silence is more eloquent than words" (Quoted ..Thomas Carlyle)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom