Anybody there?!

Anybody there?!

Cesc Henry Sn

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
217
Reaction score
125
HELLO!
natafuta PRO anaejua ku-Jail Break PS3, ili niwe na uwezo wa kusave Cracked Games kwenye HDD yangu ya PS3
 
unajua kuangalia fw yake? na ni PS3 slim au fat? umenunua lini? nina uwezo wa kujailbreak ila sio PS zote. nipe hizo details alafu nitakujulisha if possible
 
Yenyewe ni fat, nimenunua mwaka jana mwezi wa nane ni GB320
 
Back
Top Bottom