Any sleepless woman/girl to chat now

Any sleepless woman/girl to chat now

Teh teh teh...Mtu mwenyewe mwarabu huyo na kilemba chake. Be careful my friend! Inasemekana hawachagui!

Ebwana Shimba umenichekesha sana asubuhi hii mpaka jirani ananishangaa!!!!!acha kumtisha mtoa mada bwana yeye si anataka wa kupiga story ??mimi nilikuwa macho Sheikh 😅😅😅
 
Last edited by a moderator:
Ebwana Shimba umenichekesha sana asubuhi hii mpaka jirani ananishangaa!!!!!acha kumtisha mtoa mada bwana yeye si anataka wa kupiga story ??mimi nilikuwa macho Sheikh 😅😅😅
Haina neno Sheikh. Nafurahi kwamba umeweza kucheka kwani kicheko wanasema ni tiba. Naona mtoa mada ulimtisha na "man's face" mpaka akasinzia ghafla. Uwe na siku njema!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom