nakusanya maoniShwari!! Nimekuja mwanza nipo Nyegezi hapa kuna Hotel Moja inaitwa Kumalija Hotel!! Any lady free kesho nicheki sio mbaya kufahamiana!! PM me!!
Duuh kwahiyo kila kitu ni Uzinzi wengine tunapenda ku socialize tu...sio kila kuonana ni Uzinzi tu!! Nakuombea mawazo machafu kama hayo yakutokeShindwa na ulegee katika jina la Yesu,uzinzi ni haramu!View attachment 1716081
sijapata bado!! sasa hook up jamaa hapo juu anadhani labda kwa ajili ya Uzinzi Daah!! kufahamiana wengine huwa ni wa pweke tukiwa sehemu!! Ningekua muhuni si ningeenda sehem wanazopatikana madada poa lakini sina hobby hiyoBado hujapata?
Unaelewa maana ya hookup?Au umetumia neno ambalo hujui maana yake?Duuh kwahiyo kila kitu ni Uzinzi wengine tunapenda ku socialize tu...sio kila kuonana ni Uzinzi tu!! Nakuombea mawazo machafu kama hayo yakutoke
Hapana mpaka updates wa ku hookupModerators naomba mfute huu uzi wangu!!
Duuh nilikua sielewi nilijua ni ku socialize..daah hii lugha...Daah nataka ni edit hading ndo nimecheki meaning yake..aiseeh




