mkwawa gabriel
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 100
- 23
Kwa yeyote mwenye taarifa jaribuni kutupia mtupe ideas na mtutoe polini mtupeleke barabarani
Thnx!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Thnx!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
madogo waliomaliza six ths year waliosalia wanaenda mwezi9 ninavyo sikia ila cjajua kwa makundi mengine,wenye full info tujuzeni
mba- banking and financelabda niulize wataka jiunga ukiwa na profession gani?
Sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
Unaulizia ofisa cadet au RTS?
Labda niulize wataka jiunga ukiwa na profession gani?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
wote whether Afisa Cadet or RTSUnaulizia ofisa cadet au RTS?
Bsc MISLabda niulize wataka jiunga ukiwa na profession gani?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jkt subiria tu wataita tena, ila JWTZ naskia wanaacha kuchukua watu mtaaani saizi watakuwa wanawatoa JKT
Ni tetesi lakini sina uhakika
Upo sahihi mkuu,hata professional lazima upitie Jkt na ukimaliza mafunzo kuna usaili mwingine huwa unafanyika jkt kwa wale wanaoenda jw.
Na kuhusu officer cadets na Rts now days lazma utangulie Rts then ndio mnakatwa Bogi kwenda Monduli (TMA) nje ya hapo labda uwe baba kanituma.
#Kwa Rts Makutupora Introduction kikosini nafikiri wanaanza this week hivyo jipange kwa Jkt,wao mwezi wa tisa wanamaliza Course pamoja na Vijana mujibu wa sheria hivyo Mwezi wa kumi na moja au wa kwanza watatoa matangazo.
NB:
Kwa uhakika zaidi fuatilia mbao za matangazo ofisi za wilaya na mkuu wa mkoa.
...Yah ni kweli kabisa mkuu cku hzi hamna kuchukua watu mtaani, hili suala lishakuwa wimbo kila cku nawaeleza watu JF. Lakini kama unawish kuwa ofisa wa jeshi huna budi kuwa mvumilivu (tena sana) maana cku hzi degree mnazojivunia nazo vijana cyo hot cake kama zamani zile jeshini, suala la uvumilivu ni lazima maana una miezi 6 ya JKT + Miezi 4 ya RTS (ukimaliza unakuwa PRIVATE wa jeshi pamoja na hyo degree yako sawa na mtu wa darasa la 7 au form 4) baada ya muda ukibahatika utakuja usaili wa oficer cadet kwa wanajeshi wenye elimu ya form 6 na kuendelea, utaenda TMA miezi 9 kusotea nyota 1 au 2 au 3 kulingana na kiwango chako cha elimu....kwa kifupi ili kuwa officer wa JW ni suala la karibu miaka 2, lakini ukivumilia ukipata nyota zako maisha huku cyo mabaya, cha msingi acheni usharobaro halafu msipende shortcuts, "ujinga ni kukaa kusubiria nafasi za JWTZ professionals uraiani"
uongo mtupu huu na uzandiki mtupu