Any information about jwtz or jkt on joining process this year

Any information about jwtz or jkt on joining process this year

ndugu zangu kwanza niwasalimu, habari zenu! mbona wapo maofisa wengine wako jeshini wanasema nafasi zipo na zitatoka???
 
Ivi hata ubank teller mmeukosa hadi mnataka kufanya kazi za kijinga kama hzi za majesh?
we ---- banker teller kuhesabu hela za wanaume wenzio unaona kazi ya maana sana jeshi ni kazi ya kizalendo kuliko we k...ma mbuzi unavyofikili whatch out
 
Kama wamekwambia zipo basi zisubiri zije. Ila wanaolipenda jeshi wapo JKT mda huu.
 
Apa nimegain kitu, itakuapoa zaidi kama tutapeana info pia iwapo wakitoa izo nafasi
 
Sidhani kama kuna haja ya kupondana eti kwa nini mtu anataka kwenda JW kwani kwenye maisha si kila mtu ana malengo yake jamani!
Respect yourself bhanaa..
 
Back
Top Bottom