Pole kwa kutendwa,unadhani kwamba beutiful girl anaweza akawa ni potezeo lako la kutendwa?unataka wa kukuliwaza au kukuongezea stress?nafikiri good solution ya kukabiliana na maumivu ni kuji keep busy,na jichanganye na watu wengine.labda kama una hitaji company ya jambo jengine ila kwa kutendwa beutiful girl sio jibu lake.pole bro!