Anwani ya watengenezaji wa sabuni ya unga ya NiceOne

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,300
Wakuu kwa yeyeote anayeweza kujua contacts a ama namna ya kuwasiliana na hawa watengenezaji wa sabuni ya unga ya Niceone anisadidie
 
nachojua kuhusu nice 1 inasambazwa na TANZANIA BORDER LTD ambao pia hujulikana kama Good One ambao wanasambaza bidhaaa toka china hawa jamaa wana brachi nyingine kenya,nimewahi tumia baadhi ya sabuni kutoka kwao ni nzuri kwa mtazamo wangu.hawa jamaaa wanapatikana temeke na wana maduka mengi mengi tu yanayouza bidhaa mbalimbali hususan za ujenzi
 
Back
Top Bottom