Antony Mtaka ilikuwaje akawa CCM? au alilogwa

Mtu au Raia makini /smart na mwenye kufikiri na kutafakari kwa kina hawezi kuwa mwanachama wa ccm,Nadharia mbili hapa 1) Ni aidha umejitoa ufahamu huku ukiangalia na kunyatia fursa/ulaji zilizopo chini ya utawala wa ccm...2)Unaamini na kushawishika kuwa unaweza kufanya na kuleta mabadiliko/mapinduzi ndani ya ccm,jambo ambalo ni gumu-gumu sana mithili ya "ngamia" kupenya katika tundu la sindano.
 
Mtaka anafaa kuwa Rais wa JMT huko siku za usoni.

Namtabiria !

Mwenyezi Mungu amjalie na ampuepushe na hasadi za Wanadamu.

Ajichunge wasojewakamuwekea thumu kama anko Maguu ambavyo alisema aliwahi kuwekewa!

Wako wachache sana wenye kariba ya Mtaka.

Wengi bora liende!
Inabidi hao "wachache" watajwe kwa majina kama anavyotajwa Mtaka.

Mimi nawataja Stergomena, Mtaka na Mpango. Hata Katibu Mkuu Chongolo namtaja.
 
Antony Mtaka huko ulipo si salama, ondoka chukua kadi ya upinzani gombea jimbo ili akili yako isitawaliwe na watawala malofa
Sikubaliani na ushauri huu.

Mimi ningemshauri aache kazi za kuteuliwa. Aende akagombee nafasi, ubunge au hata nafasi ya uongozi ndani ya CCM na ajipambanue akiwa kiongozi wa huko huko na kutafuta mabadiliko ndani ya chama chake.

Huo ndio uongozi. Kuwa na ushawishi katika mambo unayoyasimamia na kukubaliwa na unaowaongoza.
 
Yeye alisema anataka kuwatumikia wananchi kwa vitendo, akiwa mbunge atakuwa anatoa maneno tu hawezi kutekeleza! Kwa Sasa kwa U-RC anaweza kutoa maneno na kuyatekeleza aliyoyatolea maneno. Lojiki kabisa!
 
Mwambie ahame kama ana hiyo jeuri..

Pili CCM ina Hazina ya viongozi wa kila aina kuanzia Wasomi hadi wafanyabiashara matajiri..

Uje upinzani ambako ukitofautiana na Mwenyekiti unatimuliwa na kuitwa msaliti,hovyo ni vyama au kusanyiko la waganga njaa?

Uko sahihi, ila CCM sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.
 
Sikubaliani na ushauri huu.

Mimi ningemshauri aache kazi za kuteuliwa. Aende akagombee nafasi, ubunge au hata nafasi ya uongozi ndani ya CCM na ajipambanue akiwa kiongozi wa huko huko na kutafuta mabadiliko ndani ya chama chake.

Huo ndio uongozi. Kuwa na ushawishi katika mambo unayoyasimamia na kukubaliwa na unaowaongoza.
Ni hawa hawa wasiomtakia mema!!!
 
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya mkuu wa mkoa wa njombe mh Antony Mtaka, imekuwa ikinitia hamasa kuendelea kumsikiliza na kuyafanyia kazi yale yote anayotushauli sisi vijana. Huyu jamaa yupo makini sana kwenye kuongoza watu japo sisi tuliosoma political science and public administration tunasema mkuu wa mkoa sio kiongozi ni Mtendaji. Kiongozi ni yule tu anayechaguliwa na wananchi. Ila huyu mtu ana kila sifa zakuitwa kiongozi na kuwa mkuu wa mkoa nikuiaibisha taaluma yake ingepaswa awe Mbunge au Diwani.

Mbaya zaidi mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya ccm mkoa. Kwahiyo ukiwa mkuu wa mkoa chini ya utawala wa ccm wewe ni mwanaccm moja kwa moja, kwanza unatekeleza ilani ya ccm pili unaingia kwenye vikao vya ccm vya mkoa. Hapa ndipo nilianza kumtapika maana mimi binafsi nikiona mtu ni ccm basi roho yangu inajaa singinde, yani na kuwa na ghadhabu moyoni mwangu japo ni uhuru wa kikatiba mtu kuchagua Chama cha siasa anachotaka mwenyewe. Antony Mtaka huko ulipo si salama, ondoka chukua kadi ya upinzani gombea jimbo ili akili yako isitawaliwe na watawala malofa
Antony Mtaka is another Deo Filikunjombe.

Team roho mbaya wakisikia Hii hawatakubali
 
Huyu anastahili kuwa waziri,
 
Mbona siku zote amekuwa bora aikwa huko na ameendelea kuwa salama?!
Watu bora hawako upinzani pekee. Vyama vyote ina walio bora na makanjanja kubali ukatae!
 
Back
Top Bottom