Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
CCM hii tunayoijua?CCM ndio Chama Makini cha siasa
Ni kweli lakini,Chama makini kwa Wajinga!
CCM hii tunayoijua?CCM ndio Chama Makini cha siasa
Karibu!CCM hii tunayoijua?
Ni kweli lakini,Chama makini kwa Wajinga!
Na wewe karibu Chadema!Karibu!
Unazungumzia Chadema ya zamani siyo hoi ya akina Kigaila na PambaluNa wewe karibu Chadema!
Ma-genius ndio wapo huko na wewe uwe genius!
Unasema???? Ile operesheni ya Hospitali ya Milembe saka vichaa mtaani inanzie kwenu hapo, usije ukakimbia.Na wewe karibu Chadema!
Ma-genius ndio wapo huko na wewe uwe genius!
CCM fursa kibaomtasugua benchi mpaka uzeeni watu wakijiunga tu wanapewa ukuu wa wilaya,mikoa nyazifa zingine
certified mirembe guy ambae mpaka leo file lipo pale on display si alishajifia huko ChatoUnasema???? Ile operesheni ya Hospitali ya Milembe saka vichaa mtaani inanzie kwenu hapo, usije ukakimbia.
Wala asingeweza sema yule nae alikuwa mwoga tuu.ccm yule dikiteta wenu alimfanyaje membe kisa alitaka kumng’oa urais.
Kinini kimekukasirisha hivyo?ccm yote mapoyoyo yamejaza matumbo mili mikubwa kama mafurushi ya udaga na michembe
Ukiona umeandika comment yenye matusi kama hii afu watukanaji wenzako wa chama chako wamepita bila hata kuweka Like mbili tatu, basi ujue ww washakuona mavi, huwafai ndan ya kundi lao la chawa. Kwa lugha nyingine wamekuona juha haufai hata kutumiwa na mwenyekiti wao. Kaa chini ujitafakari upya. Matusi hayajawahi kumsaidia mtu kwa lolote lile. Nimetoka kwenye ban tar 2 mwezi huu baada ya kumshushia zigo la matusi mwanamke mwenzio aliejidai kuniomb nikampumulie katika ofisi zenu za ufipa. So stay away from me. Kam hauna hoja ya maana kujadili nilichoandika basi pita kimya kimya uka comment kungine, haina haja ya kutafutiana ban zisizokuwa na msingi. Hili ni jukwaa la wasomi na watu wenye akili, sio la mateja kama wewe, so pliz just try to grow up, sina lengo la kutaka kurudi tena kwenye ban ndio maana nakwambia kwa kauli nzuri ila yenye msisitizo.mtaka ni mpuuz kama ulivyo wewe na mamayenu aliyefail form four na akawazid akili akawa mwenyekit wenu taifa bila mgombea mwingine baada ya nyie kuonekana mazezeta mlioshikiwa akili mkiambiwa mavi ni wali kuleni mtakula kwa upumbavu wenu praise team.
Mkuu nahisi haujaisoma vizuri comment yang na kuelewa nilichomaanisha.Wapi alipogoma? Kama ana jeuri mwambie agome.
[emoji38][emoji38][emoji38]Nimekuwa nikifatilia mikutano ya mkuu wa mkoa wa njombe mh Antony Mtaka, imekuwa ikinitia hamasa kuendelea kumsikiliza na kuyafanyia kazi yale yote anayotushauli sisi vijana. Huyu jamaa yupo makini sana kwenye kuongoza watu japo sisi tuliosoma political science and public administration tunasema mkuu wa mkoa sio kiongozi ni Mtendaji. Kiongozi ni yule tu anayechaguliwa na wananchi. Ila huyu mtu ana kila sifa zakuitwa kiongozi na kuwa mkuu wa mkoa nikuiaibisha taaluma yake ingepaswa awe Mbunge au Diwani.
Mbaya zaidi mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya ccm mkoa. Kwahiyo ukiwa mkuu wa mkoa chini ya utawala wa ccm wewe ni mwanaccm moja kwa moja, kwanza unatekeleza ilani ya ccm pili unaingia kwenye vikao vya ccm vya mkoa. Hapa ndipo nilianza kumtapika maana mimi binafsi nikiona mtu ni ccm basi roho yangu inajaa singinde, yani na kuwa na ghadhabu moyoni mwangu japo ni uhuru wa kikatiba mtu kuchagua Chama cha siasa anachotaka mwenyewe. Antony Mtaka huko ulipo si salama, ondoka chukua kadi ya upinzani gombea jimbo ili akili yako isitawaliwe na watawala malofa
Haiwezi kuizidi CHADEMA kwa umakiniCCM ndio Chama Makini cha siasa
Ndugu ukiangalia Kwa Umakini CCM Ina hazina kubwa tu ya viongozi Wazalendo,Nimekuwa nikifatilia mikutano ya mkuu wa mkoa wa njombe mh Antony Mtaka, imekuwa ikinitia hamasa kuendelea kumsikiliza na kuyafanyia kazi yale yote anayotushauli sisi vijana. Huyu jamaa yupo makini sana kwenye kuongoza watu japo sisi tuliosoma political science and public administration tunasema mkuu wa mkoa sio kiongozi ni Mtendaji. Kiongozi ni yule tu anayechaguliwa na wananchi. Ila huyu mtu ana kila sifa zakuitwa kiongozi na kuwa mkuu wa mkoa nikuiaibisha taaluma yake ingepaswa awe Mbunge au Diwani.
Mbaya zaidi mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati ya ccm mkoa. Kwahiyo ukiwa mkuu wa mkoa chini ya utawala wa ccm wewe ni mwanaccm moja kwa moja, kwanza unatekeleza ilani ya ccm pili unaingia kwenye vikao vya ccm vya mkoa. Hapa ndipo nilianza kumtapika maana mimi binafsi nikiona mtu ni ccm basi roho yangu inajaa singinde, yani na kuwa na ghadhabu moyoni mwangu japo ni uhuru wa kikatiba mtu kuchagua Chama cha siasa anachotaka mwenyewe. Antony Mtaka huko ulipo si salama, ondoka chukua kadi ya upinzani gombea jimbo ili akili yako isitawaliwe na watawala malofa
Ila kiukwali Pambalu anapwaya, HECHE anaweza vizuri, amsha amsha Si za kitoto enzi zile.Unazungumzia Chadema ya zamani siyo hoi ya akina Kigaila na Pambalu
Kisingekuwa kinabebwa na dola, kingeshajifia kama KANU siku nyingi.CCM ndio Chama Makini cha siasa
KabisaKisingekuwa kinabebwa na dola, kingeshajifia kama KANU siku nyingi.
Chama masikini!CCM ndio Chama Makini cha siasa