Antonio Nugaz amwita Manara "Msukule"

Huyo alieshika bango sio mwanayanga.
Mwanayanga asingeficha sura yake aogope nini?
 
(Ifahamike kuwa hakuna biashara ya mchezaji au kocha yeyote aliyetoka simba kwenda Yanga)

Humkumbuki Syllersaid Mzirai
(Supercoach)?
 
Utopolo tutulie Manara amekuja na makombe back to back 28
Tusisahau hili
JamiiForums-739198275.jpg
 
Kuna dalili Kuwa Yanga ikaenda kupasuka pasuka , hii n baada ya Video iliyorekodiwa na Nugazi na mashabiki wa Yanga. Video hyo inasikika sauti ikidai kuwa Msukule wa Simba wamemchukua ( Ifahamike kuwa hakuna biashara ya mchezaji au kocha yeyote aliyetoka simba kwenda Yanga) mtu pekee aliyeenda Yanga ni Aliyekuwa msemaji wa Simba Sc ndugu HAJJI SUNDAY MANARA

Sasa kwa kauli hii kuna uwezekano kukatokea mpasuko mkubwa sana yanga ... Team NUGAZ vs TEAM MANARA

View attachment 1912498
Hii kauli si nzuri hata kidogo.
 
Ina maana pale GSM siyo kwamba Nugaz na Engineer ndo wana nguvu? Haji anaforce kukaa kwa nguvu
Kwa kiasi fulani upo sahihi lakini Manara ni Chawa lililokubuhu, na linaweza sana kujipendekeza kwa matajiri. Taaluma hii Nugaz hana, na kwahiyo hakuna ubishi Nugaz atakuwa second best after Manara.
 
GSM yy ni kupiga hela, Hana habari na hilo litimu. Liboronge lisiboronge hana shida.

Jezi sh 35,000 lkn MISUKULE SC wanaambulia sh 1,300.

Nionyeshe Utopolo hata mmoja mwenye akili. Hakuna.
Nyie kweli makorokoro na mambumbumbu manake kila mnachokisoma Instagram mnakiamini na kukishangilia!!! Mlidanganywa Djuma karudisha pesa, hapo tena mkashangilia! Juzi mmedanganywa eti mkataba wa Konde Boy hauruhusu kucheza TZ miaka 5 ijayo, bado kama mazuzu mkashangilia bila kujiuliza, ikiwa mkataba wake na Al Ahly ni miaka 4, sasa hayo ya miaka 5 yanatoka wapi! Yaani mkashangilia bila kujiuliza hivi leo TZ itoke timu mbali na Simba itake kumnunua Konde kwa pesa ndefu sana, ina maana Al Ahly hawatamuuza wakati mchezaji ni wa kwao!! Leo tena mmeokoteza habari Instagram kwamba ktk 35K, Yanga wanapata 1,300, again mnashangilia bila kujiuliza kwanini hiyo 1300 iwe computued kutoka kwenye bei ya rejareja badala ya jumla; lakini kwavile Rage alishasema mashabiki wa Makorokoro ni Mbumbumbu, mnashindwa kabisa kujiuliza hata maswali madogo kama hayo na matokeo yake mnaishia kumeza kila kinachoandikwa Instagram!!
 
wewe nae hebu jifunze kwanza matumizi ya paragraph ndiyo uendelee na hayo mengine.
 
Wewe ni Utopolo uliyechangamka!
 
wewe nae hebu jifunze kwanza matumizi ya paragraph ndiyo uendelee na hayo mengine.
Hii hutokea pale mfuasi wa Mbumbumbu FC anapohangaika kutaka kuonesha yeye sio mbumbumbu! Kwani paragraph ni nini?! Usikute nyie ndo wale mnaodhani paragraph inatakiwa kuwa na idadi fulani ya sentensi, na haitakiwi kuwa na sentensi nyingi bila kujua kinachotengeneza paragraph ni idea, na kwa muktadha huu, idea ni umbumbu wa Wafuasi wa Makorokoro FC!! Sasa kama the one and only content idea ni umbumbumbu wa Wafuasi wa Makorokoro FC, kumbe ulitarajia niandike paragraph ngapi?!
 
Hongera wewe n Utopolo uliyechangamka
 
Back
Top Bottom