napoli

NAPOLI (Russian: Наполи), is a Belarusian music project.
NAPOLI was formed in 2012 in Minsk by Ilya Kravchuk, Ilona Muntyan and Olga Shimanskaya. Ilya Kravchuk died on 25 March 2014. On 2 July 2014, Sergey Bolobolov became a new member of the group. Since November 2015 NAPOLI is the solo project of Olga Shimanskaya.
NAPOLI participated in Slavianski Bazaar in Vitebsk in 2012.
The group also participated in the Belarusian national final for Eurovision 2014 (8th place), Eurovision 2015 (6th place), Eurovision 2016 (2nd place), Eurovision 2017 (5th place), Eurovision 2018 (4th place), Eurovision 2019 (7th place) and Eurovision 2020 (9th place). NAPOLI also took part in the Polish national final for Eurovision 2016 (9th place).
On 30 June 2016, Olga Shimanskaya was announced as the best Belarusian female singer by music channel RUTV:Belarus.
The producer of NAPOLI is Alexander Slutskiy.

View More On Wikipedia.org
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi Italy timu kubwa na maarufu na ina mashabiki wengi ipi kati ya hizi Juventus, AC Milan, Inter Milan, AS Roma, Napoli

    Hapa nani mkubwa kuzidi wenzie maana hapo hizo timu huwa sielewagi nani maarufu. Na yenye mashabiki wengi kuzidi zote hapo
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Antonio Conte anahitaji saini ya Ademola Lookman, kwenda kuongeza nguvu ndani ya Napoli

    KOCHA wa Napoli, Antonio Conte, amewasilisha jina la mshambuliaji wa Atalanta na timu ya taifa ya Nigeria, Ademola Lookman, kwa mabosi wa timu yake na kutaka staa huyo mwenye umri wa miaka 27, asajiliwe katika dirisha hili. Conte anahitaji huduma ya Lookman kwa ajili ya kuboresha zaidi eneo la...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kelvin De Bruyne kujiunga na Napoli kwa mkataba wa miaka 2

    KIUNGO Kevin De Bruyne anajiandaa kujiunga na Napoli kwa dili la mkataba wa miaka miwili baada ya kufikia makubaliano na mabingwa hao wa Italia. De Bruyne anaachana na Manchester City akiwa mchezaji huru baada ya miamba hiyo ya Ligi Kuu England kuamua kutomuongezea mkataba staa huyo wa...
  4. Chick_tz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Antonio Conte kuachana na Napoli

    Taarifa zinasema kuna uwezekano ALLEGRY Kuinoa Napoli huku rais wa Napoli akisema k.d.b watafanya mazungumzo naye mzabzab tim yako hii
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Mtanzania, Mnyakyusa anayecheza Ligi Kuu Italy akichezea Napoli

    André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui. Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa...
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Napoli yapoteza wafuasi milioni 1.2 baada ya kumuachia Osimhen

    Masaa 48 baada ya Victor Osimhen kutangazwa kama mchezaji mpya wa Galatasaray, Napoli imepoteza zaidi ya wafuasi milioni 1.2 kwenye Instagram baada ya Victor Osimhen kuondoka katika klabu hiyo. Wakati huo pia Klabu ya Galatasaray imepata wafuasi zaidi ya milioni 2 kwenye Instagram ndani ya saa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Galatasaray wapagawa kuwasili kwa Osimhen

    Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao. Mashabiki wa Galatasaray wameonyesha shangwe na furaha kubwa baada ya kuwasili kwa Osimhen, mshambuliaji mahiri anayetarajiwa...
Back
Top Bottom