Duh kumbe cluods wamejaa mashoga Mr. tu noma wataje bwana tuwajue watu wachuje nafaka kinamna
This is so sad, Mr two amesema maneno mazito bahati mbaya Tanzania hakuna a credible institution ama watu wanaoweza kuwasaidia hawa vijana, Mr II sio mtu wa kumchukulia juu juu. He is sending a very serious message na kama anavyosema yuko tayari kwa vita na hilo ndilo tatizo la uonevu. Yeye alilalamika juu ya hiyo contract yake na Malari No more, aliacha mambo yake mengi tu huku nje akafanya matayarisho pamoja na ya ki matarajio, ni kweli wote tunajua ilipofika ikulu kila Januari wamamkata kwa kuwa hana sophistication wanazoziona wao kwa kuwa wanamajina. Na hapo ndipo tulipoifikisha nchi kwa kupeana kazi kwa namna hiyo. Hawa vijana kwa kutumia ikulu wakajiona wako juu ya sheria ya mikataba yoyote. Hili swala Sugu akielekezwa likafanyiwa ufuatiliaji unaofaa kupitia ubalozi wa marekani huko sio swala dogo, watu wataharibu kazi jamani, tusilete dharau zetu za rushwa na kujiamini. Sugu alivyojaribu kutoa sauti akashambuliwa lakini watu tusisahau pamoja na umaskini wa watanzania kuna watu kama kina mr sugu ni majasiri. He is taking this issue to hte next level na hahati nzuri wamarekani wanajua rushwa iliyoko ikulu kwa hiyo hawatadharau malalamiko kama yakifishwa officially. Haya hayo mambo ya Kibonde kutukana watu tena na heshima zao mashujaa wa nchi hii kama kina Mgaya wameshapigiwa kelele, cha kushangaza hata wakina nobody's kama Gardner Habash nao siku hzi wanakiburi cha kupandisha pua, hivi hawa vijana wanaweza kumfikia mgaya kwa lolote? elimu yao duni hawamuwezi, track record ya kazi hawamuwezi, baba wa watu anatetea maslahi wa watanzania wao wanamnanga kama mtoto mwenzao. Ni vizuri pia tukumbuke kwamba swala sheria ya UKIMWI inawalinda watu kutokana na irresponsibility on the part of the person anayelalamikiwa kufanya kosa hilo. Kama itajulikana mtu unatatizo ulilokua unalijua tayari na kukawa na ushahidi wa ngono zembe unaweza ukashitakiwa kwa kutumia sheria hiyo. Hili jambo limefika mbali jamani sijui ni nani anayeweza kuliingilia, tatizo nao Clouds watajifanya miamba kutaka kupambana badala ya kutafuta namna ya kulimaliza. Maskini Ruge wa watu kaingizwa tu kwa kuitiwa kazi, lakini nataka kumpa moyo Sugu kwamba hata huo uzinduzi wenyewe wa hicho kitu ulionyesha tu ni dili tupu , very substandard hakuna kitu kabisa kabisa, wasanii wachovu, hao ma MC wachovu shule ndogo data hawana sio kitu cha kujivunia hakuna wa kupinga kwamba kama Tanzania tunataka kujiuza kimataifa tuache kubebana, hakuna msanii aliyepanda pale mwenye kiwango cha sugu naamini sugu asingetapeliwa tungeona vitu vikubwa kabisa kwenye hii zinduka na intervention nzima ingekua na impact sio kama sasa, kwa kweli its a crap, eti wasanii gani wameshindwa hata kutunga wimbo maalum wa shughuli wenye ujumbe, wakina banana hata nyimbo zao wenyewe wameshindwa kuziimba
Nashikwa na hasira kwa uchungu wa mabo kama haya tena basi itokee ufanyiwe na watu amabo ndo ulitegemea wakutetee!
Yaliyompata Mr II yalinikuta mimi; Mimi na wenzangu tulikuja na idea amabyo ilikubalika na ikawekewa vigezo na mpaka tukakubaliana bei! Na huo ndio ukawa mwisho wetu! Idea ile ile inafanywa na watu wengine kwa wenye link ya kuwa na baba mwenye ujirani na ofisi kuu kuliko zote hapa nchini!
Mungu yupo alitupatia mimi na the likes of Mr. II mikono na akili na maarifa tele! We'll survive against all odds!
Sugu I feeel your pain! I've been there! MUNGU SI ABDALAH
achakuongea pumba jamaa yupo kwa ajili ya kutetea masilahi ya WOTE NDIYO MAANA ANAHASO KINOMANOMA sugu keep it upHaaa jamaa kama kujisaidia basi kaharishaaaa!
Hili pini ni soo.....Mi nimelisikia....Chorus ni " I WANA KILL RYT NOW" so atamkili nani tena SUGU?? Mi naomba tusifike huko....Koz kuuana siyo....Am sure watakua hawajawitness mtu anavyouawa.....YATAKA MOYO KUUA.....Ila haki inapokua haipatikani kwa njia za kawaida ndo huko kuuana kunapofikia..... "whenever diplomatic ways of solving a problem fails then force is always Applied" but aint sure tht this force is Killing....I wont prefer tht....Its a nice move kuwa kajiunga na CHADEMA so I think he can fight against Politically...akishindwa then.......chorus yake ichukue mkondo...Am sure vijana wengi tutampa back up.......