Antivirus gani ya bure ni nzuri kati ya hizi?

mzeelapa

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Posts
1,124
Reaction score
408
Wanajamvi wa mavituz ya science. Nauliza ni antivirus gani ya bure ni nzuri? Kati ya hizi ambazo ni top ten kwa mujibu wa mtandao wa Yahoo? Hii kaspesky imekuwa bomu inafanya computer kuwa nzito. Niliweka ikanibidi niitoe tu na computer yangu ina kasi ya kawaida lakini haina antivirus.
1. Scan Guard
2. TOTALAV
3. PCPROTECT
au nyingine tulizozizoea?
 
Ingia Google utaipata
 
Hzo hata sizijui,tumia kerspersky antivirus,vinginevyo utajuta,kuna moja nilii install mpk leo laptop haieleweki,ni la robot flan hvi bahati nzr laptop ilikua imekua ya kizamani niliiweka tu ndani
 
Wanajamvi wa mavituz ya science. Nauliza ni antivirus gani ya bure ni nzuri? Kati ya hizi ambazo ni top ten kwa mujibu wa mtandao wa Yahoo? Hii kaspesky imekuwa bomu inafanya computer kuwa nzito. Niliweka ikanibidi niitoe tu na computer yangu ina kasi ya kawaida lakini haina antivirus.
1. Scan Guard
2. TOTALAV
3. PCPROTECT
au nyingine tulizozizoea?
Kama una windows 10 nadhani hauna haja ya anti virus,defender anti virus kwenye windows 10 ipo good sana,cha kufanya update.
 
Wanajamvi wa mavituz ya science. Nauliza ni antivirus gani ya bure ni nzuri? Kati ya hizi ambazo ni top ten kwa mujibu wa mtandao wa Yahoo? Hii kaspesky imekuwa bomu inafanya computer kuwa nzito. Niliweka ikanibidi niitoe tu na computer yangu ina kasi ya kawaida lakini haina antivirus.
1. Scan Guard
2. TOTALAV
3. PCPROTECT
au nyingine tulizozizoea?
Kwa windows 7
Tumia Microsoft Security essential (MSE) ila kama unatumia windows 8/10 Fanya ku update windows Defender ambayo ipo built-in
 
Back
Top Bottom