SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Hapo ni kutumia akili ya kuzaliwa tu kaka, unahitaji app ya flashlight make sure inataka permission unazoona zinafaa (mfano camera) ili ipate acess ya flash. Ila app ya flashlight ikitaka sjui kusoma msg, mic, gallery nk unaachana nayo unatafuta nyengine.
Pia kusoma review kabla hujadownload kitu inasaidia. Utakuta wenzako ambao wameshaathirika wanatoa ushuhuda
Hiyo ya kusoma review huwa naizingatia.
Ila hiyo ya kuwa na App ya flash light sijaizingatia sana.