Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Oct 15, 2015 #1 Kuna madhara yoyote kama unaweza kuweka anti-virus Mbili kwenye Computer??... Msaada apo plz
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Oct 15, 2015 #2 yap yapo makubwa tu, kila ant virus itamdaka mwenzake kama virusi
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Oct 15, 2015 #3 Utendaji wa kazi wa computer utakuwa mdogo
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Oct 15, 2015 Thread starter #4 Chief-Mkwawa said: yap yapo makubwa tu, kila ant virus itamdaka mwenzake kama virusi Click to expand... Kama yapi Chief
Chief-Mkwawa said: yap yapo makubwa tu, kila ant virus itamdaka mwenzake kama virusi Click to expand... Kama yapi Chief
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Oct 15, 2015 Thread starter #5 KakaKiiza said: Utendaji wa kazi wa computer utakuwa mdogo Click to expand... Kuna lingine zaidi ya hiyo mkuu??
KakaKiiza said: Utendaji wa kazi wa computer utakuwa mdogo Click to expand... Kuna lingine zaidi ya hiyo mkuu??
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Oct 15, 2015 #6 Nafikiri Zaidi said: Kama yapi Chief Click to expand... si nimekutajia hapo kila ant virus itamripoti mwenzie kama kirusi, inamaana mafile yataliwa na kuekwa kwenye quarantine mwisho wa siku zote mbili hazitafanya kazi bila mafile yake
Nafikiri Zaidi said: Kama yapi Chief Click to expand... si nimekutajia hapo kila ant virus itamripoti mwenzie kama kirusi, inamaana mafile yataliwa na kuekwa kwenye quarantine mwisho wa siku zote mbili hazitafanya kazi bila mafile yake
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Oct 15, 2015 Thread starter #7 haya nimekuelewa mkuu pamoja