Barca hawana kabisa utamaduni wa kupiga mashuti ya mbali na hicho ndio kinachowaponza wakikutana na timu inayopaki basi.Barca wanaweza wakawafunga Milan lakini uwezekano wa kuwatoa Milan ni mdogo sanaSecond leg Barca will play with a more quick passing game,high tempo and shoot from outside. Milan will lose, Kama unafikiri Chelsea,Inter kushinda kwao kutawasaidia Milan subiiri utaona!!
Who said kwamba lazima kila team icheze huo upuuz unaitwa tika taka? Team inaposses mpira na kupiga pass 668 lakin inamanage only 2 shots on target? is this wat u call positive football?
Kila team na kocha ana mbinu zake za kushinda, huyo Mourinho unamwita anti football ana record unique Ulaya, hakuna kocha mwingine anayo kwa club level, na alishaenda hapohapo Nuo Camp na Inter akapaki Tren na akaibuka kidedea, so usishangae Libolomilan wakifanya the same.
Mapenzi yako kwa wacatalunya yasikufanye uwe kipofu Mkuu, hutafikiri sio mtu wa Bianconeri bana!

hii najua ni UEFA sio La Ligawe unafikiri Barca jana alipenda kufungwa na unafikiri kazi ya kukomboa magoli ni rahisi,ni kweli inaweza kutokea hivo lakin mpaka sasa mwenye advantage ni AC Milan,ameshapata confidence tofauti na mwanzo na nina ona wana sababu ya kushinda pia gemu ya marudiano.Labda niulize kwanini jana Barca hakushinda? Basi niseme Barca atashinda mechi ya Marudiano lakini hataqualify kwa hatua ya robo finaliSecond leg Barca will play with a more quick passing game,high tempo and shoot from outside. Milan will lose, Kama unafikiri Chelsea,Inter kushinda kwao kutawasaidia Milan subiiri utaona!!
Absolutely true!! Companero wewe unajua soka na sina shaka hata uwanjani ulishawahi au una uwezo wa kusukuma gozi..Milan will suffer at Camp Nou, the tactics wont help them there!! Barca will be like a wounded animal!!
Barca hawana kabisa utamaduni wa kupiga mashuti ya mbali na hicho ndio kinachowaponza wakikutana na timu inayopaki basi.Barca wanaweza wakawafunga Milan lakini uwezekano wa kuwatoa Milan ni mdogo sana
Second leg Barca will play with a more quick passing game,high tempo and shoot from outside. Milan will lose, Kama unafikiri Chelsea,Inter kushinda kwao kutawasaidia Milan subiiri utaona!!
Second leg Barca will play with a more quick passing game,high tempo and shoot from outside. Milan will lose, Kama unafikiri Chelsea,Inter kushinda kwao kutawasaidia Milan subiiri utaona!!
Barca hawana utamaduni wa kupiga mashuti ya mbali..Muulize Ferguson,Rooney,Giggs,Vidic ilikuwaje pale Wembley Messi na Villa wakafunga?
Mimi si mshabiki sana wa mpira lakini kwa ufupi tu ni kwamba Barcelona imeshatolewa kwenye haya mashindano.
Huu mchezo wa show game wa Barca wawe wanacheza na timu kama Arsenal ndio watawaonea kwa sababu wanakuwa wamewafikisha kwenye raha yao. mpira magori bandugu.
Arsenal ndio timu ambayo ningeweza kuishabikia lakini nilijitowa mapema baada ya kuona naweza pata ugonjwa wa moyo au vidonda vya tumbo. kama upendi vikombe basi shabikia Arsenal.
Kumbuka game na ManU ilikuwa neutral game,na game ni moja tu hakuna haja ya kupaki bus ManU walizidiwa mpira.Hii ya sasa ni mtoano na Milan ameshashinda first leg 2 bila,kama una kumbukumbu vizuri kwenye hii raundi ya mtoano
Inter 3 Barca 1, game ya pili Barca pamoja na Motta kupewa red kadi mapema game iliisha 1-1
Chelsea 1 Barca 0,game ya Camp Nou,Barca wakaambulia sare 2-2 tena kumbuka John Terry alikuwa red card
Barca anaweza akashinda lakini itakuwa ngumu sana kuwatoa Milan ambao wanacheza kwa discipline ya hali ya juu
Absolutely true!! Companero wewe unajua soka na sina shaka hata uwanjani ulishawahi au una uwezo wa kusukuma gozi..Milan will suffer at Camp Nou, the tactics wont help them there!! Barca will be like a wounded animal!!
Mkuu Belo jana nilikuwa shabiki wa AC Milan kwa mkopo siwapendi Barca hasa ukizingatia Man akiwatoa Real atakutana na mshindi baina yao.
Imefanya kazi San Siro. Ni Cataneccio ya Kitaliano. Huwa inahitaji discpline kubwa sana ya Kimafia ya kukaba. Lakini haitaweza kufanya kazi Nou Camp. Watabana sana ila wataachia!
Picha hii hapa chini inaonyesha jinsi gani packing the bus the Maurinho way can bring the beautiful game into disrepute, total anti-football!
![]()
"Heat map of all of Barca's 961 touches, 11 in the penalty area. Milan put up a wall right at the 18-yard line" - Forza Milan! Barca beaten - ESPN FC
Sabuni utakayoogea ndio utakayonukia...
Jana shoga zako wameogea Mbunju...we unataka wanukie Parmolive...inahuu?
Shuuuuuuh
milan wakifika Nou Camp wanapaki train dereva anaondoka na usukani kabisaa.!MEXES anaenda kumalizia mahari ya Messi!