Anti-Football Haina Nafasi Nou Camp

Anti-Football Haina Nafasi Nou Camp

Seems you dont know Barca, or you know them but yesterday defeat has made you forget, What they have got,What they are capable of. Milan will be destroyed heavily!!

acha mikwala yako mpira unadunda dk.90
 
tukumbuke Arsenal ni timu iliyoweza kuisumbua FBC kwenye final na golie akapewa red card.. na kwenye quarter finals kuifunga 2-1 Emirates kabla ya kufungwa 4-1 baada ya Van Parsie kutolewa katika mazingira tata!! So possession yao ni anti-football defensive strategy...lakini nadhani hawana bahati kwa sababu AC wamejipanga na hawatataka watoke kwenye meno yao kulipiza vichapo tata vilivyopita!!
 
kuna timu 2 tu ulaya ambazo piga ua, 24/7, sio anti-football nazo ni arsenal/barcelona b na barcelona/arsenal b
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom