Halishangazi hilo kwani hata Lady Gaga nae she has got Dic.....,wakati huo huo wengine wansema anayo Pu....iliwahi kuonyeshwa wakati mmoja akiwa katika konseti moja kwa bahati mbaya mkono wa tembo ukajitokeza na ndio wengi hadi sasa wanamini kuwa Lady GAGA ni HE pia na huyo kaka au dada izekeli inawezekana kuna mushkeli ndani yake. (time will tell)