Anthony Scaramucci sacked as Trump media chief

Anthony Scaramucci sacked as Trump media chief

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,152
Reaction score
137,155
Duh....jamaa kadumu kwenye nafasi ya mkurugenzi wa mawasiliano White House kwa siku 10 tu.

All may not be well in the Trump admin.

Inasemekana Gen. Kelly ambaye ndo chief of staff mpya kaomba jamaa aachie ngazi.

Sijui Gen. Kelly yeye atadumu kwa muda gani maana Reince alidumu kwa miezi 6.

Lakini swali la msingi zaidi ni Trump mwenyewe atadumu kwa muda gani...? Hahahaaa

Trump Removes Anthony Scaramucci From Communications Director Role
 
Duuuh Trump anapitia wakati mgumu sana!! democrats watammaliza kwa kumpa presha!!
 
Hizi habari za east na west kwa sasa zinaumiza vichwa vya wengi. Naona "utashi" tuliosetiwa sasa unapotea! Kuna anguko kuu somewhere....

French nako Macron mambo hayako sawa kulingana na mzigo wa email kutoka wikileaks!

Naona "binadamu" wanarudi kwenye ufahamu wao wa asili na nguvu ya "mapepo" NWO inashuka kwa kasi.

Tusubiri tuone!

Sent from my Device.
 
What?
Mr Mucci is out
Mtu ambaye alikuwa anajitaoa kuwa ameingia White House kuwanyonya wasiokubaliana na Trump
Naye katumbuliwa

Chief Economist
 
What?
Mr Mucci is out
Mtu ambaye alikuwa anajitaoa kuwa ameingia White House kuwanyonya wasiokubaliana na Trump
Naye katumbuliwa

Chief Economist
Ila jamaa naye ni bonge la mropokaji.

Nashangaa hata kwa nini alipewa huo wadhifa.

Ila Trump naye sidhani kama anajua akifanyacho.

Nahisi viongozi wengine pia..kama AG Jeff Sessions wataachia ngazi.
 
The guys was not qualified for the position, he thought he was in the reality show. This is government business. Serious stuffs. He wanted to report direct to President Trump instead of reporting to Chief of Staff, a procedure which has been around for 100 of years. I think Kelly will do well because he already got rid of trouble maker.
 
Wasingeweza kudumu pamoja,Scaramucci alimtukana sana wakati wa kampeni na hata alipoingia ikulu.

Alipochaguliwa na Trump,aka'delete tweets zote alizokuwa anatuma kum'diss Trump na kumuomba msamaha but watu wengi alijua Scaramucci alikuwa anaigiza tu coz kapewa cheo.

Hakuna MTU serious anayetaka kufanya kazi na Trump,he is a joke.......sijui hata kama atamaliza miaka 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili anazo tumia trump mpaka sasa anashangaza dunia nzima kwan unatarajia hichi Jamaa anakuja na mshangao kwetu sote mpaka kwa walio karibu naye....
 
Is Trump's administration in such hot soup that a second term is not guaranteed?
 
Is Trump's administration in such hot soup that a second term is not guaranteed?
Second terms are hardly ever guaranteed in American politics.

And as we've already seen, the laws of political gravity don't really apply to Trump.

The things he got away with during the campaign season no other career politician can get away with.

Who in their right mind thought he could win? Let alone win, but actually beat Hillary and the Clinton political machine and the entire Republican party establishment!

So anything can happen but nothing is guaranteed. At least not in American politics.
 
Second terms are hardly ever guaranteed in American politics.

And as we've already seen, the laws of political gravity don't really apply to Trump.

The things he got away with during the campaign season no other career politician can get away with.

Who in their right mind thought he could win? Let alone win, but actually beat Hillary and the Clinton political machine and the entire Republican party establishment!

So anything can happen but nothing is guaranteed. At least not in American politics.
I guess we will just have to wait and see, right?
 
Ila jamaa naye ni bonge la mropokaji.

Nashangaa hata kwa nini alipewa huo wadhifa.

Ila Trump naye sidhani kama anajua akifanyacho.

Nahisi viongozi wengine pia..kama AG Jeff Sessions wataachia ngazi.

Trump is the main problem. He want to run government as his personally company or his reality show. He is looking for sycophantic people, Yes men, You need best people who have been there to advise you even if you don't like them.
 
would he be able to go through this first term???

Tons of people said he wasn't gonna get out of the first rounds of the Republican party primaries and he did.

After that they said he wasn't gonna get the nomination but he did.

Then they said he had no chance in hell of beating Hillary but he did.

The guy is a survivor. Not only is he a Teflon Don...he is Houdini.

I'm done making predictions about him. He may very well be POTUS for 8 years.
 
Mkurugenzi wa mawasiliano katika Ikulu ya White House Anthony Scaramucci amefutwa kazi chini ya siku 10 baada ya kuteuliwa kuhudumu katika wadhifa huo.

Scaramucci, ambaye amehudumu kwa kipindi kirefu katika Wall Street, alikuwa amekoselewa sana baada ya yake kumpigia simu mwanaharakati mmoja kuwasema wahudumu wenzake katika Ikulu.

Mkuu wa utumishi wa umma wa Bw. Trump Reince Priebus na msemaji wake Sean Spicer wote walijiuzulu kutokana na uteuzi wa Scaramucci.

Uamuzi wa kumfuta kazi umefanywa na mkuu mpya wa utumishi wa umma wa Trump, John Kelly, ambaye aliapishwa mapema leo Jumatatu.

Taarifa fupi ya sentensi tatu kutoka White House imesema "Anthony Scaramucci atauacha wadhifa wake kama mkurugenzi wa mawasiliano wa White House.

"Bw. Scaramucci aliona ni vema kumpa mkuu wa utumishi wa umma John Kelly mwanzo mpya na uwezo wa kuunda timu yake. Tunamtakia kila la heri".

Awali, Bw. Trump alikuwa ameandika kwenye Twitter kuhusu takwimu za nafasi za kazi na ajira, na atasisitiza kwamba hakukuwa na mzozo wowote White House.

Bw Scaramucci alikuwa awali amejiringia kwamba huwa anaripoti moja kwa moja kwa Rais badala ya kupitia kwa mkuu wa utumishi wa umma.

Reince Priebus alijiuzulu Ijumaa baada ya Bw Scaramucci kuandika ujumbe kwenye Twitter na kisha kuufuta, ambapo wengi waliufasiri kama tuhuma na tishio dhidi ya Priebus.

Chanzo: BBC
 
Back
Top Bottom