Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!
Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!

Mbona hauna hoja unatukana matusi mods wanakuangalia tu.Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!
Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!
Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!
Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!
Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!
Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!
Kuanguka unakutafsiri vipi??
ilianguka USSR itakua Tanzania??
Wahuni wameingia mpaka ikulu maamuzi ya hovyo yanafanyika.... Mikataba ya kitapeli kila uchao bado nchi itasimama?? au kuanguka unakutafsiri Kama Embe dodo la uwanjani kwenu liangukiapo paa lenu?
Ataanguka Yeye
Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!
Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!
kweli kabisa wewe umetoka MSALANIAtaanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!
Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!
Sijakulazimisha uniamini.
Aliyeangukia pua kwenye Escrow ni Zitto na kamati yake ya kizushi. Nani kakudanganya kuna uwizi kwenye Escrow? Zile ni siasa chafu tu.
True mkuu. Tanzania haiwezi kuanguka kirahisi wakat kuna UKAWA wako standby kulihuisha taifa. Big up! achana na huyu mchungaj bongofleva
Hivi hao wanaokutuma wanakupa nn hasa?
Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!
Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!
Lakini hayo aliyosema si ni kweli tupu? Amezusha?Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!
Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!
Akihutubia kwenye ibada ya Jumapili kanisani kwake, Mchungaji Antony Lusekelo alimaarufu Mzee wa upako amesema kuwa Tanzania kama nchi inakwenda kuanguka muda si mrefu.