Anthony Lusekelo: "Tanzania inakwenda kuanguka muda si mrefu"

Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!

Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!

Kuanguka unakutafsiri vipi??

ilianguka USSR itakua Tanzania??

Wahuni wameingia mpaka ikulu maamuzi ya hovyo yanafanyika.... Mikataba ya kitapeli kila uchao bado nchi itasimama?? au kuanguka unakutafsiri Kama Embe dodo la uwanjani kwenu liangukiapo paa lenu?
 
Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!

Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!
Mbona hauna hoja unatukana matusi mods wanakuangalia tu.

swissme:
 
na yeye anavyokula maisha huku waumini wake wakiwa hoi bin taabani
 
Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!

Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!

Tukiwa tayari tushakunyonga japo ww ni kibaraka mdogo sana kama punje ya haradali
 
Kuanguka unakutafsiri vipi??

ilianguka USSR itakua Tanzania??

Wahuni wameingia mpaka ikulu maamuzi ya hovyo yanafanyika.... Mikataba ya kitapeli kila uchao bado nchi itasimama?? au kuanguka unakutafsiri Kama Embe dodo la uwanjani kwenu liangukiapo paa lenu?

hawa tutawanyonga baada ya mabwana zao kukimbia japo watakimbia lakini kamwe hawatajificha
 
Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!

Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!

Nadhani alitakiwa kuwa mkweli kwamba anatabiri anguko la CCM na serikali yake
 
Sijakulazimisha uniamini.
Aliyeangukia pua kwenye Escrow ni Zitto na kamati yake ya kizushi. Nani kakudanganya kuna uwizi kwenye Escrow? Zile ni siasa chafu tu.

It is hard to believe that some imbecile of such caliber exists in JF!Eti escrow siyo wizi?wee Panya kweli,vanish you idiot,dead walking embecile!
 
ccm imeshaanguka uwezekano wa kuinuka tena hamna escrow ndo kaburi la ccm
 
Ataanguka yeye na familia yake na wapumbavu wenzake! Pamoja na matapeli wenzake!

Ataiacha Tanzania ikiendelea kusonga mbele!

Huyu ni supporter mzuri sana wa chama tawala, inakuwaje sasa? Kweli hii ni dola inayodidimia.
 
Ni kweli kuna umuhimu mkubwa wa kuzuia haya mambo machafu ambayo yanaichafua nchi yetu. Bado hajataja dawa za kulevya kuwa ndio biashara mkuu ya matajiri vijana. Hali ya nchi yetu ni mbaya sana kiukweli.
Ova
 
imeshaanguka kansa imeanza na mwenyekiti wao sasa imesambaa kwenye chama chao na ndio mwisho wa utawala wa ccm wameanguka kwa kurubuniwa na ulafi wa madaraka, ufisadi sasa chaliiii, pesa imewaharibia kama delila alivyo mharibia samson. CCM itaanguka Tanzania yetu itasonga mbele na vyama vinavyojali maslahi ya uma.
 
lusekero huwa namwamini sana! mi si mfuàsi wake lakini anijua philosophy na psychology! wengi watabeza lakini critical thinker ataelewa!
 
Akihutubia kwenye ibada ya Jumapili kanisani kwake, Mchungaji Antony Lusekelo alimaarufu Mzee wa upako amesema kuwa Tanzania kama nchi inakwenda kuanguka muda si mrefu.

Mbona ile siku alilewa chakari usiku na kutishia watu na bastola mbona hakuanguka.Kama mlevi yeye wa usiku wa manane haanguki sembuse nchi isiyokunywa pombe?

Hivi kesi yake imeishia wapi ile ya kutishia watu na bastola alipokuwa kalewa?
Halafu asichokoze nyuki malaya wake wa kike anaotembea nao watamwaga mtama kwenye kuku wengi muda si mrefu kama akiendelea na ubwatukaji wake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom