Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,675
- 22,265
Wee umekariri vibaya ni kuwa alikuwa anamfagilia magufuli na kusema kuwa haijawahi tokea nchi yoyote dunia kwa kununua ndege hizo 8 kwa pamoja akasema ni tanzania pekee imeweza hivyo mh rais anatakiwa kupongezwa kwa hilo.na unavyosema hayupo sawa sio kweli maana hakuna swali hata moja aliulizwa na akashindwa kujibu.
Atakuwa hayuko sawa huyo hakika.Maradhi yashaanza kumtafuna.Ndege nane,wakati kuna nchi zinaagiza ndege zaidi ya mia moja kwa mpigo!!.Nchi kama Iran iliagiza ndege mia moja kutoka Airbus,achilia mbali kutoka Boeing.China wameagiza ndege karibia 60 kutoka Airbus, achilia mbali kutoka Boeing.Halafu anakuja mnywa konyagi mmoja na kutapika uharo.Mungu mnusuru mja wako LusekeloWee umekariri vibaya ni kuwa alikuwa anamfagilia magufuli na kusema kuwa haijawahi tokea nchi yoyote dunia kwa kununua ndege hizo 8 kwa pamoja akasema ni tanzania pekee imeweza hivyo mh rais anatakiwa kupongezwa kwa hilo.na unavyosema hayupo sawa sio kweli maana hakuna swali hata moja aliulizwa na akashindwa kujibu.
Na wewe una kubaliana na lusekelo kuwa hakuna nchi yoyote duniani iliyonunua ndege nane kwa pamoja?
Hivi wewe unavyomuona Lusekelo kuna usawa wowote wa kiakili tena pale?. Angalia afya yake halafu toa tathmini.Kuhusu kukubaliana nae au kutokubaliana nae hilo ni suala la mtu binafsi maana yeye alikitoa kama mshangao wake kwa nchi kama tanzania kufanya hivyo,na kwa hapa tz tukilizunvumzia hili tangu huko tuliko toka hata mimi lazma niungane nae.
Kama unaungana naye basi unaungana naye kwenye ujinga na automatic nawe unakuwa mjinga kama yeyeKuhusu kukubaliana nae au kutokubaliana nae hilo ni suala la mtu binafsi maana yeye alikitoa kama mshangao wake kwa nchi kama tanzania kufanya hivyo,na kwa hapa tz tukilizunvumzia hili tangu huko tuliko toka hata mimi lazma niungane nae.
Atakuwa hayuko sawa huyo hakika.Maradhi yashaanza kumtafuna.Ndege nane,wakati kuna nchi zinaagiza ndege zaidi ya mia moja kwa mpigo!!.Nchi kama Iran iliagiza ndege mia moja kutoka Airbus,achilia mbali kutoka Boeing.China wameagiza ndege karibia 60 kutoka Airbus, achilia mbali kutoka Boeing.Halafu anakuja mnywa konyagi mmoja na kutapika uharo.Mungu mnusuru mja wako Lusekelo
je walilipa kama wananua mkate auAtakuwa hayuko sawa huyo hakika.Maradhi yashaanza kumtafuna.Ndege nane,wakati kuna nchi zinaagiza ndege zaidi ya mia moja kwa mpigo!!.Nchi kama Iran iliagiza ndege mia moja kutoka Airbus,achilia mbali kutoka Boeing.China wameagiza ndege karibia 60 kutoka Airbus, achilia mbali kutoka Boeing.Halafu anakuja mnywa konyagi mmoja na kutapika uharo.Mungu mnusuru mja wako Lusekelo
Sasa ndo umeandika nini!!Kuhusu kukubaliana nae au kutokubaliana nae hilo ni suala la mtu binafsi maana yeye alikitoa kama mshangao wake kwa nchi kama tanzania kufanya hivyo,na kwa hapa tz tukilizunvumzia hili tangu huko tuliko toka hata mimi lazma niungane nae.
ππππππππππWatu wengine bhana kama ana stress zake ndo aje atoe uharo kwenye TV kwamba hakuna Nchi yoyote duniani iliyoagiza ndege nane kwa mpigo?
Huyu atakuwa na matatizo siyo
Kwanza sisi hizo nane tunalipa kidogo kidogo wenzetu full cash mijitu mingine bhana
ππππππππje walilipa kama wananua mkate au
Muwe mnachagua watu wenye akili timamu kupiga propaganda na sio walevi wa gongo kama lusekeloNafikiri lengo kubwa la press conference lilikuwa kuwaonyesha kuwa yeye yupo na ni mzima wa afya sababu kuna wazushi walizusha kafa wengine wakasema hatavuka mwezi wa tano.Hayo mengine aliyoongea ni mazungumzo baada ya habari
Tatizo la huyu Mzee, ni hajawahi kutembea, na Elimu yake ni ya Darasa la Saba. Kuna mambo mengi sana ya duniani hayajuiAtakuwa hayuko sawa huyo hakika.Maradhi yashaanza kumtafuna.Ndege nane,wakati kuna nchi zinaagiza ndege zaidi ya mia moja kwa mpigo!!.Nchi kama Iran iliagiza ndege mia moja kutoka Airbus,achilia mbali kutoka Boeing.China wameagiza ndege karibia 60 kutoka Airbus, achilia mbali kutoka Boeing.Halafu anakuja mnywa konyagi mmoja na kutapika uharo.Mungu mnusuru mja wako Lusekelo
Nafikiri lengo kubwa la press conference lilikuwa kuwaonyesha kuwa yeye yupo na ni mzima wa afya sababu kuna wazushi walizusha kafa wengine wakasema hatavuka mwezi wa tano.Hayo mengine aliyoongea ni mazungumzo baada ya habari
Hakika mkuu ππ.Tatizo la huyu Mzee, ni hajawahi kutembea, na Elimu yake ni ya Darasa la Saba. Kuna mambo mengi sana ya duniani hayajui