Anthony Joshua VS Andy Ruiz Jr.. = Six packs VS Kitambi... Hahahhaa

Anthony Joshua VS Andy Ruiz Jr.. = Six packs VS Kitambi... Hahahhaa

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,979
Lipo la kujifunza sana kupitia mechi ya wapiganaji hawa iliyoisha masaa mchache ulopita...
Mwonekano wa Andy Ruiz haukunishawishi hata kidogo niamini kama ataweza kuhimili ngumi za kijana mdogo machachari Anthony Joshua kufika round ya 5.... Lakini kilichotokea ni hatari sana..
Joshua kapigwa vizuri kwa KO ya round ya 7 na mbabe mmexico Andy Ruiz (Tipwa Tipwa)...
Tusiwachukulie powa watu kwa Mwonekano wao, tukawahukumu kwa hisia.. Wapo wenye vitambi wanachukuliwa powa na akina Dada wa leo kwamba hawawezi na hawana pumzi za kuwagegeda na kuwapa raha kunako 6x6 hahahhaaa,.. Watu na mapumzi yao aisee...
Waliobet wengi saaana wamepigwa kwa game hii,.. Muhindi kaingiza mpunga wa kutosha kupitia mtazamo wa kihisia na Mwonekano wa wapambanaji...
 
Picha hizo hapo
tapatalk_1559455059720.jpeg
 
AJ alimdharau sana Mr. Kitambi ila kilichomkuta nadhani mpaka sasa haamini.

Kitambi mi mwepesi vibaya sana na anapiga ngumi balaa.
 
Acheni kumchukulia poa Mexician rock Andy Luiz Jr, ana punches nzuri na he is too fast, AJ kuanzia raundi ya pili alishajua akifanya mchezo jamaa anamuweka chini mapema akaanza kwenda kwa tahadhari maana alijikuta kila akipeleka jab kabla hajakuja na right punch yake jamaa ameshacounter attack... The game was very open and too tactic..

Ukiangalia video za training za Mexician Rock lazima ukubali uzito wa punches zake na binafsi kabla ya pambano nilimhofia sana Mexician rock baada ya kuangalia training zake na kuona zile heavy punches..
 
Siku zote wamexico ni wabishi
Hawakubaligi kushindwa!
Naona ametoa funzo

Ova
 
Wamexico ni mafia hata marekani wanawaogopa sana jamaa ni wahuni na wabishi wakuzaliwa
 
Jana nilikuwa natizama mapambano ya huyu mmexico, acha kabisa!! Hivyo sishangai kupigwa kwa Joshua!!
 
Back
Top Bottom