Anthony Joshua VS Andy Ruiz Jr.. = Six packs VS Kitambi... Hahahhaa

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,967
Lipo la kujifunza sana kupitia mechi ya wapiganaji hawa iliyoisha masaa mchache ulopita...
Mwonekano wa Andy Ruiz haukunishawishi hata kidogo niamini kama ataweza kuhimili ngumi za kijana mdogo machachari Anthony Joshua kufika round ya 5.... Lakini kilichotokea ni hatari sana..
Joshua kapigwa vizuri kwa KO ya round ya 7 na mbabe mmexico Andy Ruiz (Tipwa Tipwa)...
Tusiwachukulie powa watu kwa Mwonekano wao, tukawahukumu kwa hisia.. Wapo wenye vitambi wanachukuliwa powa na akina Dada wa leo kwamba hawawezi na hawana pumzi za kuwagegeda na kuwapa raha kunako 6x6 hahahhaaa,.. Watu na mapumzi yao aisee...
Waliobet wengi saaana wamepigwa kwa game hii,.. Muhindi kaingiza mpunga wa kutosha kupitia mtazamo wa kihisia na Mwonekano wa wapambanaji...
 
Back
Top Bottom