Anternal MOJA NA VISIMBUZI VIWILI.

Anternal MOJA NA VISIMBUZI VIWILI.

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
3,716
Reaction score
2,221
Nimemnunulia jirani yangu kisimbuzi cha startimes leo ila baada ya kuwapo na taarifa kuwa kuna madish yanakuja tukafikira kuachana na mpango wa kununua anterna kwa kupunguza gharama ,nimekuwa na wazo la kuunga kichwa ambacho kitakua na matoleo mawili kusudi tutumie anternal moja kwa visimbuzi viwili je wadau kuna uwezekano huo??????????

shukrani zangu za dhati.
 
Wala haina tatizo, mimi mwenyew nimefanya hivyo.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
jaribu alafu uje na majibu mkuu nasi tufanye hivyo ..maana antena bei
 
Back
Top Bottom